Narudi kwenye msingi, do you agree with the substance of the "need to change" jinsi Mwalimu alivyoweka. Wewe unamuangalia Nyerere kama kiongozi na mtawala, mimi katika hili naangalia falsafa ya Nyerere independent of his leadership or administration. Ninajaribu kujenga hoja ya kuangalia maandishi yake intellectually na kuona umaana wake suala la kufeli au kufanikiwa kwangu halipo kwa wakati huu.
Ukilielewa hilo ndugu yangu tutaenda mbele kwani bado kuna fikra nyingi tu ambazo bado hatujazifikia. Suala la kutekeleza au la ni jingine. Kama nilivyosema, Plato alipoandika kuhusu "The Republic" yeye hakuwa mfalme, na Adam Smith walipoandika kuhusu kanuni za Uchumi yeye hakuwa Mkuu wa kitendo cha Benki balia likuwa anaanisha mambo kifalsafa.
Hata mababa wa Marekani walipotangaza Azimio la Uhuru wa Marekani na kuandika Bill of Rights wao wenyewe walikuwa wana watumwa, wanawake walikuwa hawapigi kura, na wuesi walikuwa ni theluthi moja ya mtu! Lakini ukweli wa fikra zao zile ambazo kwani ni "rhetoric" unabakia pale pale.
So, do you agree on the rhetorical ideas of Mwalimu on change as articulated in the quoted text? Kama hukubali, naomba unioneshe wapi hukubali, it is very simple.
the question is, should we really be obsessed with a history of rhetoric making?
Nope, the question is do you agree on the content and substance of Mwalimu's principle on change and the need of Africa to change? That is the question.
I'm not talking about Nyerere's success, nazungumzia his philosophy. We have just started with one theme, the theme on change. And will try to explore this theme a little bit more today. Kama hukubaliani nayo sema tu hukubaliani nayo na kwanini. Can you do that?