INAUZWA Fikiria unapata nguo Kama hizi kwa 5000 tu Bei ya jumla

Unapata nguo za mtumba kwa bei ya jumla ya 5,000 tu kuanzia nguo 100.. unachagua unazotaka.

Tuwasiliane kwa namba 0738664971

IMG_20211116_164933_693.jpg
 
Attachments

  • VID_20211116_165600.mp4
    6.5 MB
Nguo za mtumba zote Kali unachagua kuanzia 100 kwa tshs 5,000 bei ya jumla. Rejareja pia unapata. 0738 664971 kwa mawasiliano zaidi

IMG_20211116_164933_693.jpg
 
Attachments

  • VID_66651228_065542_894.mp4
    1.6 MB
Mkuu nisiwe mnafiki,Mimi sijaona nguo nzuri apo ya kuuza bei unayouza.Nakushauri nunua za grade ya juu zaidi.Nway nakutakia kila la kheri na mapambano.
 
Mkuu nimekutafakari, hivi we unadhani kwa nguo hizo inafaa kuuza kiasi gani? Kwanini mnapenda kuua biashara za wenzenu, kama hujaelewa si uende ukanunue za quality nzuri kwa bei poa.. hatuwezi kuwa na same taste naelewa, ni soko huru pia
 
Sidhan km umeambiwa kwa ubaya,ni ushauri tu.Issue sio taste issue ni zinaonekana zimechoka sana ndio maana ukaambiwa ununue grade ya juu yake.Nguo ya elfu 10-15 apo kwa mtu mjanja hakuna.Mfano hzo shirt ilala unapata shati kali zaid ya hzo tena bei ya rejareja ya elfu 5 ukiwa mzuri kwenye ku-bargain.Hzo zako labda ni elfu 2500 had 3000 kwa bei ya rejareja.

Mungu atupe uzima naweza kutuma umu nguo za bei hyo ya elfu 10 had 20 n thn uone km zitakaribiana na hzo ulizotuma. Na mm nakutakila kila la kheri pia kwenye biashara yko.
 
Inawezekana ananishauri kwa uzuri lakini angenitafuta pembeni ningejua kweli ana nia ya kunijenga. Apa anachofanya ni kuniharibia, kila mtu anaona pia anaependa anachukua. Apa ni Kama dukani ambapo huwezi kwenda dukani kwa mtu ukapiga kelele nguo mbaya bei kubwa lazima mwenye duka achukie Ila angemfata pembeni Kama ni mstaarabu anashukuru. Sio kila nguo ni 10,000 hadi 15,000 Kuna nguo hadi za 2,000 pale.Sijui unamaanisha t-shirt ipi ila nguo ni Kali ukiachana na quality ambayo sio nzuri sana ya simu yangu, ndo mana nikachagua kupoint ili nipate nguo nzuri ambayo ni kazi ngumu kuliko balo. Mngejua ambavyo tunagombania kupoint nguo na bei zake nadhani ungeelewa ila karibu uone live usipopenda unaacha.
 
Sidhan km umeambiwa kwa ubaya,ni ushauri tu.Issue sio taste issue ni zinaonekana zimechoka sana ndio maana ukaambiwa ununue grade ya juu yake.Nguo ya elfu 10-15 apo kwa mtu mjanja hakuna.Mfano hzo shirt ilala unapata shati kali zaid ya hzo tena bei ya rejareja ya elfu 5 ukiwa mzuri kwenye ku-bargain.Hzo zako labda ni elfu 2500 had 3000 kwa bei ya rejareja.

Mungu atupe uzima naweza kutuma umu nguo za bei hyo ya elfu 10 had 20 n thn uone km zitakaribiana na hzo ulizotuma. Na mm nakutakila kila la kheri pia kwenye biashara yko.
Ila apo ulipomalizia utatuma sample ya nguo za iyo bei apa sijaelewa kwamba we ni mwenzangu kwenye hii biashara? (competitor) ama ulinunulia wanao? maana isije kuwa hii ni sababu ya huu ushauri( ambao kwangu naona haujengi) kutolewa apa. Tupendane nawakaribisha mjionee
 
Mkuu inaelekea wewe ni mgeni humu,pitia njuzi nyingi hasa jukwaa la biashara utajua aina ya watu unaodeal nao humu.
 
Back
Top Bottom