pakirsaleh
Member
- May 8, 2014
- 79
- 45
Magufuli ndio tunaemtaka yeye jembe na ufagio wa chuma tumepata Rais hata Kenya wanatuonea wivu Adumu Rais wetu mpenda watu
Ha ha ha haah, nyumbu bana!Lowasa angekuwa rais vijana wote wasio na kazi wangelipwa mishahara kila mwezi
Kama tungemchagua Lowassa kuwa Raisi wa wa 5 wa JMTZ unafikiri mpaka sasa hivi ni nini kingekuwa kimetokea? Unafikri wagonjwa Muhimbili wangetoka sakafuni na kuhamia kitandani? Unafikiri Lowassa, Mbowe Lisu &Co. wangeacha kutumia milioni 250 na badala yake kuzipeleka Hospitali kusaidia Watanzania? Rejea Tundu Lissu kutetea milioni karibia 300 walizokuwa walipwe kama Wabunge, je angeziacha hizi za juzi kama angekuwa na madaraka?
Unafikiri Lowasa na Mbowe wangeahirisha kuuza sura Disemba 9 na badala yake kutumia hizo fedha kwa ajili ya maendeleo?
Unafikiri Lowassa na Mbowe wangefuta safari za nje ya nchi?
Mke wa Lowassa unafikiri leo hii angekuwa kimya kama mama Janeti au tayari angeshaanzisha NGO na sia ajabu sasa hivi angekuwa yuko safari ndefu ya Marekani na Ulaya kuuza wazo lake?
Mungu bado hajachoka na sisi Watanzania anatupenda na ndiyo maana ametuongoza na tukafanya maamuzi ya busara, leo hii ukiwauliza waliompigia kura Dr. Pombe Magufuli kama wana majuto yoyote ya kufanya jibu lake ni HAPANA kubwa!

Lowassa angekuwa ni Rais angekuwa ameshaanza kutekeleza sera zake kwa kasi ya 120% kama alivyokuwa anasema.
Kufumua MFUMO wa elimu, kuanzisha MCHAKATO wa katiba ya Wananchi, kubadilisha MFUMO wa utendaji wa bandari ya Dar es Salaam ifanye kazi kwa 24/7, kujenga bandari kubwa Tanga, kuchochea ari ya utendaji kazi serikalini, nk
Bila shaka wewe uliyeisoma ya ilani ya UKAWA 2015-2015 tuambie sisi tunaokariri kama Upinzani ndiyo umeiga ilani ya CCM...Umepata fursa ya kusoma Ilani ya CCM ya mwaka 2015-2020? Au umekariri tu?
asante mana watu wanaropokwa tuNgoja nikuambie moja moja.
Ni aibu Hospitali ya Taifa kupata vitanda mpaka zizuiwe pesa zilizochangiwa kwa tafrija ya Wabunge, zile pesa hazikuwa za mafungu ya serikali bali taasisi ndio zimechanga. Pamoja na jambo hilo kuwa zuri lakini ni aibu.
Ni sawa uchangiwe pesa za Harusi kisha useme kwa vile shemeji yake bwana Harusi ana familia kubwa na hana chakula wala pa kuishi basi hakuna sherehe fedha hizi zinakwenda kununua chakula chake na kumjengea kibanda.
Kuhusu 9 December, wewe unaamini huu ugonjwa Kipindupindu ndio unaweza kuahirisha Isifanyike ili pesa zitumike kufanya usafi?
Basi elewa sababu kubwa ni kuficha aibu ya kuja uwanjani Anayeitwa Rais wa Zanzibar ambaye alikuwa anangojewa kwa hamu ili lile lililotokea Bungeni liendelee. Na kwa vile pale hata umwite Ndugai hawezi kufua dafu kutuliza aibu hiyo ikaonekana ni bora kupotezea tuu.
Eti mama Lowasa hangeweza kutulia kama mama Janeth! Hilo naona niliache maana usilolijua ni sawa na usiku wa giza. Yaliyo nyuma ya utulivu huo ungeyajua pengine usingepoteza muda wako kuandika.
Hata hivyo Magu anastahili pongezi kwa jinsi anavyoipopoa CCM bila kuitazama usoni kwa kutumia yaleyale waliyokuwa wanayasema wapinzani juu ya serikali kipindi cha awamu ya nne. Ameamua kuwasomesha namba mpaka hawana hamu kabisa. Sasa hivi hata wakitaka kwenda hapo Nairobi lazima kujaza fomu kama wanaomba mkopo wa biashara.
Kama tungemchagua Lowassa kuwa Raisi wa wa 5 wa JMTZ unafikiri mpaka sasa hivi ni nini kingekuwa kimetokea? Unafikri wagonjwa Muhimbili wangetoka sakafuni na kuhamia kitandani? Unafikiri Lowassa, Mbowe Lisu &Co. wangeacha kutumia milioni 250 na badala yake kuzipeleka Hospitali kusaidia Watanzania? Rejea Tundu Lissu kutetea milioni karibia 300 walizokuwa walipwe kama Wabunge, je angeziacha hizi za juzi kama angekuwa na madaraka?
Unafikiri Lowasa na Mbowe wangeahirisha kuuza sura Disemba 9 na badala yake kutumia hizo fedha kwa ajili ya maendeleo?
Unafikiri Lowassa na Mbowe wangefuta safari za nje ya nchi?
Mke wa Lowassa unafikiri leo hii angekuwa kimya kama mama Janeti au tayari angeshaanzisha NGO na sia ajabu sasa hivi angekuwa yuko safari ndefu ya Marekani na Ulaya kuuza wazo lake?
Mungu bado hajachoka na sisi Watanzania anatupenda na ndiyo maana ametuongoza na tukafanya maamuzi ya busara, leo hii ukiwauliza waliompigia kura Dr. Pombe Magufuli kama wana majuto yoyote ya kufanya jibu lake ni HAPANA kubwa!
Lowasa ni hazina ya Taifa
Lowasa angekuwa rais vijana wote wasio na kazi wangelipwa mishahara kila mwezi
Na huu ndio ukweli mchungu CCM hawataki kuusikiaLowasa ni hazina ya Taifa