Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

Kwa Lowasa hiki anachofanya Magu ni cha mtoto. Tungelishuhudia mabadiliko ya kasi tena bila kutumia magufu kama anavyofanya Magu. Halafu lazma kuwa systematic, siyo kila kukicha unatoa jambo jipya bila kufanya analysis ya lile la jana ni kwa kiasi gani umefikia au kukaribia lengo.

Barabara zote zingekuwa zinapigwa deki kila mwananchi angskuwa na simu ya mkononi.vijana wote wanywa viroba wangekuwa na bajaji.haaa lowasa team inachekesha sana na hasa ukawa
 
lowassa nimemdharau sana yeye pamoja na wafuasi wake wote kwa ile hoja ya kutengeneza mvua tu,daaaa inatia huruma na kukasirisha pia....hvi kweli kabisa jitu linasema mvua inatengenezwa et alaf kesho lnagombea urais na watu wanalkubali tu...uzuzu wa hali ya juuuu....labda saivi tungekua tushatengeneza lita kibao za mvua
 
Kama tungemchagua Lowassa kuwa Raisi wa wa 5 wa JMTZ unafikiri mpaka sasa hivi ni nini kingekuwa kimetokea? Unafikri wagonjwa Muhimbili wangetoka sakafuni na kuhamia kitandani? Unafikiri Lowassa, Mbowe Lisu &Co. wangeacha kutumia milioni 250 na badala yake kuzipeleka Hospitali kusaidia Watanzania? Rejea Tundu Lissu kutetea milioni karibia 300 walizokuwa walipwe kama Wabunge, je angeziacha hizi za juzi kama angekuwa na madaraka?

Unafikiri Lowasa na Mbowe wangeahirisha kuuza sura Disemba 9 na badala yake kutumia hizo fedha kwa ajili ya maendeleo?
Unafikiri Lowassa na Mbowe wangefuta safari za nje ya nchi?

Mke wa Lowassa unafikiri leo hii angekuwa kimya kama mama Janeti au tayari angeshaanzisha NGO na sia ajabu sasa hivi angekuwa yuko safari ndefu ya Marekani na Ulaya kuuza wazo lake?

Mungu bado hajachoka na sisi Watanzania anatupenda na ndiyo maana ametuongoza na tukafanya maamuzi ya busara, leo hii ukiwauliza waliompigia kura Dr. Pombe Magufuli kama wana majuto yoyote ya kufanya jibu lake ni HAPANA kubwa!

Acha tabia ya kujifanya mganga wa kienyeji wewe, unapiga ramli?labda utuambie wewe ni shekhe Yahaya umefufuka
 
Wewe unafikiri na kama unafikiri inamaana huna kitu kipya, huwezi kuanza kupiga ramli maana hiyo ni ramli, kwa taarifa yako, ingekuwa ni tofauti kbisa kwa jk na watu wake wengine jitosa baharini kama sio kujingonga.
 
Wezi wote wangesha kamatwa na kufilisiwa.Hivi unafikiri ccm kutumia mapesa yote hayo kuzuia asiingie ikulu walikua wajinga? Haya matamko si lolote kwa serikali ya upinzani.Mbona mpaka sasa viwanja vya mpira serikali ingemiliki.Unasema nini! Ati bandari, utalii na madini hakieleweki alafu unaleta ngonjera hapa!
 
Ningefurahi, kwa sababu ningekuwa na uhakika katiba ya wanachi ingepatikana bila mizengwe, wanafunzi wangeanza lipiwa hadi chuo kikuu ,pia Lowassa si mtu wa kufanya mambo kwa sifa bali kwa hekima
 
Hoja yoyote iliyoitikisa serikali ya awamu ya 4 pale bungeni ilitoka upizani. Mfano Epa, Escrow nk. Katika mambo ya kwanza yaliytekelezwa na huyo rais Magfl ni yale yalipigiwa kelele na wapinzani, mfano safari za rais nje ya nchi.Kwa hayo machache upinzani ndio wenye mchango mkubwa kabisa katika kuibadilisha Tz yetu kuwa nchi ya maziwa na asali.
Mupo hapo wajameniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.
 
Hakuna ajuaye ingekuwa vipi.Tanzania yetu kwa kusifia hata JK alisifiwa sana lakini katuacha na madeni na hali ngumu ya maisha magumu
 
Tumwache EL apumzike. Uchaguzi umeisha, aliyeshinda kashinda..hizi figisu sio nzuri kwa ustawi wa nchi.
Hata hivyo, asingekuwa EL labda CCM wangekuwa usingizini kwa kutumbua pesa kama kawaida yao..

Za masiku tele mkaka?
 
Binti wa Bulembo kapewa ubunge je wewe mkeo kapata nini?

Kutwa kucha mnawashwa kuhangaika na Lowasa kwa taarifa yako tunakimbiza mwizi wa kura zetu kimya kimya maccm u will quit

Pole sana ndugu, endeleeni kumkimbiza mwizi wenu kimya kimya hivyo hivyo ila chondechonde angalia msije tokezea Syria mkakutana na IS..
BTW kama ni aibu basi hata hao waliochangia iliwahusu kwa maana MNH wao pia wanaitegemea kupata matibabu. Hapa kazi tu
 
Bado mnaweweseka na Lowasa sio?
JPM anafanya kazi ya Lowasa mpaka sasa , sijui nani anaisoma namba?
Nyie vibaka wa kijani au Lowasa?
 
Kama tungemchagua Lowassa kuwa Raisi wa wa 5 wa JMTZ unafikiri mpaka sasa hivi ni nini kingekuwa kimetokea? Unafikri wagonjwa Muhimbili wangetoka sakafuni na kuhamia kitandani? Unafikiri Lowassa, Mbowe Lisu &Co. wangeacha kutumia milioni 250 na badala yake kuzipeleka Hospitali kusaidia Watanzania? Rejea Tundu Lissu kutetea milioni karibia 300 walizokuwa walipwe kama Wabunge, je angeziacha hizi za juzi kama angekuwa na madaraka?

Unafikiri Lowasa na Mbowe wangeahirisha kuuza sura Disemba 9 na badala yake kutumia hizo fedha kwa ajili ya maendeleo?
Unafikiri Lowassa na Mbowe wangefuta safari za nje ya nchi?

Mke wa Lowassa unafikiri leo hii angekuwa kimya kama mama Janeti au tayari angeshaanzisha NGO na sia ajabu sasa hivi angekuwa yuko safari ndefu ya Marekani na Ulaya kuuza wazo lake?

Mungu bado hajachoka na sisi Watanzania anatupenda na ndiyo maana ametuongoza na tukafanya maamuzi ya busara, leo hii ukiwauliza waliompigia kura Dr. Pombe Magufuli kama wana majuto yoyote ya kufanya jibu lake ni HAPANA kubwa!

Umekuja lini Tanzania ?....maana hujielew kama hukuwepo nchini hivi hahahahaaaaaa...
 
Nimejikaza nisiseme lakini ngoja niseme tu. Yani sipati picha namna angeanzaje anzaje kuzirudisha zile fedha alizokuwa anagawa makanisani, misikitini na kwa vijana wetu wa boda boda kama anatupia kuku mchele. Sijui angewafanya nini Mwakyembe, Dr. Slaa, Kikwete, viherehere wote na wajumbe wa kamati kuu ya CCM kwa kile alichoona kama alionewa kwenye urais. Sipati picha ambavyo tungesubiri kuona mabadiliko ya kushtukiza kama anayofanya mh. Rais sasa kama kubana matumizi holela ya serikali, kutofanya visherehe vya gharama kubwa na kadhalika. Hata hivyo sipati picha namna angewashukuru vigogo wakubwa waliomsapoti kwenye urais tusiowajua na tunaowajua kama Mzee Kingunge ambae alimnadi wakati yumo CCM na hata alivyohamia UKAWA.
Nashkuru Mungu huyu mtu hajawa rais TUNGESHAA
 
Back
Top Bottom