donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,523
nimesikia wakuu kwamba 30th of this month ndo EA sports wata release hii game ambayo naskia itakua ni revolution katika game za mpira. naskia jamaa wamewafunika hadi Pes. je una mtazamo gani kuhusu hili? na je waki release itachukua mda gani adi ifike bongo? maana hunitoi kwa game za mpira.
<br />Fifa is good than pes since FIFA 10, To be honest fifa wanaimprove sana every year, pes is static, nimecheza sana game utotoni na nilikuwa uniambii kitu kuhusu pes kiasi cha kubana ela za shule ili nikanunue cd toka enzi za playstation 1, na upenzi huu na game ulinifanya niwe addicted kiasi cha kufumba macho na kununua PS3 kwa hela nyingi ilivyotoka bila kujutia, The things is Champions league licence ndo Pes kinachomlinda kwenye ushindani, but Fifa 2011 tu mpaka leo inanidatisha i cant wait fifa 12, na kama mtu wa mission kaka tafuta God of War 3 ni nomaaaa... hauta jutia pesa yako
<br />ikitoka tutaicompress mpaka mb kama 50 then niwaekee link mnaotumia net za mafungu mdownload, hehehe
mie sioni kabisa hiikituu itakuajeebwana sipati picha...!!
<br /><font size="4"><img src="https://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=37053&stc=1" attachmentid="37053" alt="" id="vbattach_37053" class="previewthumb" /></font><br />
mambo hayo!