Fifa '12

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,031
21,499
nimesikia wakuu kwamba 30th of this month ndo EA sports wata release hii game ambayo naskia itakua ni revolution katika game za mpira. naskia jamaa wamewafunika hadi Pes. je una mtazamo gani kuhusu hili? na je waki release itachukua mda gani adi ifike bongo? maana hunitoi kwa game za mpira.

Fifa is good than pes since FIFA 10, To be honest fifa wanaimprove sana every year, pes is static, nimecheza sana game utotoni na nilikuwa uniambii kitu kuhusu pes kiasi cha kubana ela za shule ili nikanunue cd toka enzi za playstation 1, na upenzi huu na game ulinifanya niwe addicted kiasi cha kufumba macho na kununua PS3 kwa hela nyingi ilivyotoka bila kujutia, The things is Champions league licence ndo Pes kinachomlinda kwenye ushindani, but Fifa 2011 tu mpaka leo inanidatisha i cant wait fifa 12, na kama mtu wa mission kaka tafuta God of War 3 ni nomaaaa... hauta jutia pesa yako

Yah mkuu twaingoja itakuwa bomba nimeickia and abt the bolded statement as long as it is in the internet tutaipata tu ata baada ya siku ya

kuirelease tu.

kwa quality ya picha pes wakali bana....ila kwa features fifa wako juu

@hashycool graphics,features FIFA imecover kote,i've played both games and the graphics in FIFA are better! Evn in ps2 the graphics looks so advanced in 2001 hardware! And kuhusu game kufika hku cku hyo hyo,hata kabla ya kutoka litakua lishafka kwnye torrent sites na kua cracked,ni ww tu na bandwith yako na computer ynye muscles za kurun hlo game au console!

Fifa is good than pes since FIFA 10, To be honest fifa wanaimprove sana every year, pes is static, nimecheza sana game utotoni na nilikuwa uniambii kitu kuhusu pes kiasi cha kubana ela za shule ili nikanunue cd toka enzi za playstation 1, na upenzi huu na game ulinifanya niwe addicted kiasi cha kufumba macho na kununua PS3 kwa hela nyingi ilivyotoka bila kujutia, The things is Champions league licence ndo Pes kinachomlinda kwenye ushindani, but Fifa 2011 tu mpaka leo inanidatisha i cant wait fifa 12, na kama mtu wa mission kaka tafuta God of War 3 ni nomaaaa... hauta jutia pesa yako

hapo kwnye GOW3 tu mtu wangu ucpime that game is so epic!!

wakuu mkumbuke kwamba tarehe 13 wanarelease demo ya hii fifa12. mkuu yeyote mwenye internet ya fasta akidownload atusambazie tuweze test na sisi.

ikitoka tutaicompress mpaka mb kama 50 then niwaekee link mnaotumia net za mafungu mdownload, hehehe

Kwa wote hapo juu wanandugu wenzangu,

Kwakweli hata me ninaikubali FIFA na nawaaminia kwa viwango vyao na utengenezaji wa game ya mpira katika uhalisia zaidi ya PES na kama kweli ni mpenzi wa game kamwe hauwezi kuikubali PES

Jamani mwenzenu napenda game sana hasa yenye graphics zaukweli, nikajkuta nimeingia kwenye ulimwengu wa XBOX 360, kilichonitokea nimenunua console 1m very xpnsive na imedumu kwa ,mwaka mmoja tu , jamanmliokuwa na PS 3 bakini humo humo , XBOX 360 HAZIFAI japo ni nzuri sana .

Navuta nguvu ninunu PS 3 now. thanks

Navuta nguvu ninunu PS 3 now. thanks[/QUOTE]

Kaka hata mimi imeshanikuta, i nilikuwa na x box 360 japokuwa nimeshaiuza, x box haidumu kabisa mazingira yetu ya kibongo bila kuipa update online, pia ikizingua kutengeneza ni tabu compared with playstation product ambazo even sony office posta wanakutengenezea ikizingua,
Kaka unaeongelea God of war 3 pamoja sana, bado naicheza hii game ni balaa, yaani hapa nilipo naumiza kichwa kumkamata Hermes messenger of Gods, ana spidi ni balaa, yaani ni zaidi ya movie hii game, kweli sony wameonesha hardware capabilities za PS3 kwenye God of War... Gaia a mother of the titans wakati napanda Mount olympus... hata sijui kapotelea wapi

fifa.jpg
mambo hayo!

mambo hayo!

safi hiyooo

@MKATAKIU unaambiwa hapo develepers hawaja push ps3 to its limits...angalia the upcoming Uncharted 3,it is so REAL! Na Gaia utamkuta huko mbele kwnye city of olympus yupo wounded

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom