Fiesta ya Clouds iwapi 2023?

Fiesta ya Clouds iwapi 2023?

Mr. Marangu

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2013
Posts
1,574
Reaction score
1,558
Hawa jamaa mwaka huu wapo kimya,

Kwa kawaida harakati zamsimu wao wa fiesta huanza mwezi wa saba mpaka sada tumeifikia october ambapo huwa fiesta inakua inakaribia kuhitimishwa

Bila shaka huenda biashara hiyo imeanza kuwashinda. Wasanii wamejitambua wanataka malipo makubwa.

Hivyo wameona biashara inawakata.

Nini maoni yako mdau!?
 
Wasanii wenyewe ndo wale wale., so kama ikifanyika hizo festival 2, inamaana Wasanii lazima baadhi wajirudie tu. So kwa mtazamaji Inakua kama hamna jipya
 
Wasanii wenyewe ndo wale wale., so kama ikifanyika hizo festival 2, inamaana Wasanii lazima baadhi wajirudie tu. So kwa mtazamaji Inakua kama hamna jipya
Mbona zilifanyika iaka iliyopota ila miezi tofauti
 
Imekua biashara ngum coz matamasha ya bure yamekua mengi hasa haya ya kiserikali kumuona msanii wako mkoani kila Mara utamuona jukwaa la chama ama shughuli ya kiserikali so linapokuja tamasha la kingilio 10k alafu juzi msanii uyo uyo umemuona bure inapunguza vibe ya kwenda kumuamgalia na hasa wasanii wetu wamekua so wabunifu kwenye majukwaa zaidi ya kupigisha kelele mashabiki.

Na hata hao wasafi mikoa waliyopita mpaka Sasa ni mikoa 5 na miwili Kati ya hiyo show zilikua bure.
 
Back
Top Bottom