Fiesta DSM 2017 Special Thread;

Shunie wewe upo wapi, mimi niko huku mbele nimeona nikikaa nyuma sioni vizuri watu wananiziba na simu zao walizozinyoosha juu...
Pole sana mkuu hizo mambo ndio siziwezi nipo zangu naangali vizuri tu kwenye tv
 
Pole sana mkuu hizo mambo ndio siziwezi nipo zangu naangali vizuri tu kwenye tv
Ooouuwwhh jaman bas mimi nilijua upo huku angalau tufarijiane kwan huku kila mtu ana mzuka.... Na mimi kila nikijitahid siwez piga kelele, yaan hata msanii akisema tuimbe wote mimi siimbi kwa kuwa nimetoa hela yangu ili yeye aniimbie... Nikajua upo nikutafute tuwe tunapga vistori kidogo kidogo vya hapa na pale
 
Mtafute miss natafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…