Fiesta DSM 2017 Special Thread;

Fiesta DSM 2017 Special Thread;

Tatizo wasanii wa kibongo stori nyingi stejini..... Wameanza vizuri na bado wana mawe ya kutosha lakini wanaanza mambo ya arsenal na Manchester jukwaani
 
Nilikuwa sjaona mashavuuuu ya stamina kama anapuliza mapulizo ya harusi
 
Tatizo wasanii wa kibongo stori nyingi stejini..... Wameanza vizuri na bado wana mawe ya kutosha lakini wanaanza mambo ya arsenal na Manchester jukwaani
Sasa mtu anashabikia timu mbilimbili ana akili kweli?
 
Kibamia kinafagiliwa na Roma&Stamina
Vibamia wote mikono juu
Akinyoosha mtu nampa laki ha ha ha jajajaja
 
Hata Diamond nilishawahi kumuona na live band ana strugle sana tu. Serious mziki wa Tz inabidi tujitafakari sana nini tunachoweza kama CD basi tubaki huko maana napata hasira tu nahisi makelele tu.
 
Back
Top Bottom