unique dada
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 770
- 605
Mwambieni kiba aje ajifunze kwa AslayAslay funika kibaaa dogo nakupa propasal yakuja Wcb the brains work smart not hard
Mwambieni kiba aje ajifunze kwa AslayAslay funika kibaaa dogo nakupa propasal yakuja Wcb the brains work smart not hard
Duh!!! Kiba kaimba live aslay anasapoti ya CD bado mnawafananisha hawa watu????Mwambieni kiba aje ajifunze kwa Aslay
Hahahahahaha sina chuki na kiba nampenda sana ila mwambieni ajifunze kucheza na halaikiDuh!!! Kiba kaimba live aslay anasapoti ya CD bado mnawafananisha hawa watu????
Hata kama ni chuki hii imezidi
Hicho ni kipaji kingine mkuu. Tunatofautiana. Ndio maana hata mafanikio hayawi sawaHahahahahaha sina chuki na kiba nampenda sana ila mwambieni ajifunze kucheza na halaiki
Pamoja mkuuHicho ni kipaji kingine mkuu. Tunatofautiana. Ndio maana hata mafanikio hayawi sawa
Hata kufanya starehe ni moja ya kuleta maendeleo ya taifaNdio nini hiyo?
Vijana acheni starehe, fanyeni kazi kwa maendeleo ya Taifa letu.
Ndiyo akili za wanaccm woteKumbe! Ndio uchumi unavyotafsiriwa?
Dawa za kuua Wadudu Kwenye Nyanya Zimeharibu Uwezo Wako Wa Kufikiri...SikushangaiKitendo cha jana watu kufurika fiesta kinaonyesha Magufuli hajabana na uchumi unaenda vizuri , kinyume na inavyohubiriwa na mawakala wa shetani kwamba uchumi umesinyaa na wananchi hawana hela mfukoni.
Hivi mwananchi kama hajala kabisa na hana hela mfukoni ,je hela ya kuingilia huko fiesta ataitoa wapi??
Hii ni aibu kubwa sana kwa chadema.