Fiesta DSM 2017 Special Thread;

Fiesta DSM 2017 Special Thread;

Msanii unajisikiaje unataka kupata stage mashabiki wanashout Kiba?
Kama mimi nakojoa naenda kulala. wakisema wamuweke kiba kabla ya wengine wataharibu shoo,watu wataondoka kabla shoo haijaisha.
 
Anafanana na mananasi ya kiwangwa poooh manywele na nguo hata hayafanani na hilo kichwan poooh sjui ndo nn

Umenena

Kiaina kajijaza sana leo minywele imefunika nanasi lake haswa na kuharibu.

Kama hawakufanya maigizo basi naona alitamani aondoke na Jux waende kona maana macho take uwiiiiiii.. sijui alikuwaje pengine pengine..😀
 
Washaanza fitna sasa naona kama mike zinasumbua kimtindo... Alikiba hata akiimba bila mike watu tunachizika tuu
 
Back
Top Bottom