Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,392
- 96,718
Dont try it SIPO,Sgnature yako inakukataza!Utaaibika kama Geoff na Fidel 80
Ngoja nikaiangalie. Mchumba mbona unachunguza nyumba za watu? Unanitia wivu ujue?
Dont try it SIPO,Sgnature yako inakukataza!Utaaibika kama Geoff na Fidel 80
asee mpwa unakumbuka siku ile pale Mkulima??, duhtukutuku linakuwa tamu ukiwa kinywaji!(akkodingi tu papaa😀)
Shemeji ZD najaribu kumkumbusha Mpwa Chris hapo kwenye few isiwe 'more'Dont try it SIPO,Sgnature yako inakukataza!Utaaibika kama Geoff na Fidel 80
Ngoja nikaiangalie. Mchumba mbona unachunguza nyumba za watu? Unanitia wivu ujue?
Shemeji ZD najaribu kumkumbusha Mpwa Chris hapo kwenye few isiwe 'more'
Shemeji ZD najaribu kumkumbusha Mpwa Chris hapo kwenye few isiwe 'more'
Hapo umenena shem,Bwana awe nawe,akulinde na kukuangazia nuru ya uso wake.Na endelea hivohivo kumuhubiri na maombi usiache kumuombea.
Inatakiwa aanze kunywa maziwa ili a-save maji na hizo biere.
Mea culpa,
Mea Culpa,
Mea Maxima culpa.
Lazima umpigie bibi simu kijijini akutafsirie hichi kilatini hapa hoi kbsa.
Chrispin tafadhali kesho umpitie Fidel80 wakati unaenda njia ya MsalabaKesho Ijumaa, ntaenda NJIA YA MSALABA. LOL! Hahahaha!
![]()
BY THE WAY ZD good car man, limekaa ki hip hop. Xspin anamkwanja eeh! ameli pimp
Chrispin tafadhali kesho umpitie Fidel80 wakati unaenda njia ya Msalaba
Hahahahaa, well said shem! Haya mapickup ya Tarakea /Rombo Balaa!
Pick up gani ya Tarakea Rombo? Kule si unajua ni DCM ti mamaangu!! Halafu siunajua tena barabara inakamilika mwakani aisee! Mramba oyeee, Fisadi mnamjua Nyie, si tunajua ni Mbunge wetu
You can say it again. Hapo jamaa alitaka kupiga breki za nyuma zikagoma. Hahaha! Kale ka nyumba ka kusimamia kakawa absent
Huku Sikonge kuna jamaa lishikwa na POLISI kuwa anaendesha baiskeli bila breki. Jamaa akamwambia POLISI kuwa ana BREKI. Polisi hakutaka kusikiliza basi jamaa akamwambia achore mstari wapi aanze kufunga breki na washindane na mwenye baiskeli yenye breki. Jamaa alitoka huko MKUKU na kufika pale akarudisha miguu nyuma na kulibana tairi la nyuma kwa miguu. Hiyo retadation iliyotokea hadi Velocity kuwa zero huwezi kuamini.