Fidel80 & geof be serious!

Fidel80 & geof be serious!

Tatizo bibi ukimpigia kwanza anaanza hadithi ya mbuzi zake, then kahawa baada ya hapo atataka mpige japo fungu moja la rozari mafungu ya utukufu. Mpaka nije nimwombe tafsiri credit inakuwa kaputi! Sanctus! Sanctus! Sanctus!

Umekukuruka na TENKSI nenda ka audit. Mbavu sina nilitaka niweke 2 nikachemsha.
 
Hata mie naona PASAKA imekaribia nyakati za kunyoosha mapito yako, Well done brother keep it UP.

Tuungane pamoja kwenye safari ya kwenda mbinguni. Hivi ikikaribia krismasi si ndio tunasema kwarezma? au majilio? Haya mambo yananipita sana siku hizi, pepo bana!
 
Hilo pepo litatoka tu kila siku tunamkesha wa maombi kwa ajili ya hao mapepo wachafu, mpaka kieleweke.
 
Tuungane pamoja kwenye safari ya kwenda mbinguni. Hivi ikikaribia krismasi si ndio tunasema kwarezma? au majilio? Haya mambo yananipita sana siku hizi, pepo bana!

ni unanichanganya sasa najiuliza sasa huu mwaka wa kanisa unazungukaje?? mara njia ya msalaba karibu na majilio....XPIN kakaangu punguza divai!!!!
 
Tatizo bibi ukimpigia kwanza anaanza hadithi ya mbuzi zake, then kahawa baada ya hapo atataka mpige japo fungu moja la rozari mafungu ya utukufu. Mpaka nije nimwombe tafsiri credit inakuwa kaputi! Sanctus! Sanctus! Sanctus!

hahaaa babu yangu alikuwa mkoloni kweli....mtu akisinzia hata kama mko la tano mnaanza fungu la kwanza kudaaaadeki!!! sala inageuka adhabu loh
 
Dah nimechelewa nilikuwa servise kidogo Zero pub wapwa.
 
hahaaa babu yangu alikuwa mkoloni kweli....mtu akisinzia hata kama mko la tano mnaanza fungu la kwanza kudaaaadeki!!! sala inageuka adhabu loh

Ah ha ha ha, kumbe wife mtu wa sala sana.
 
kwa mtindo wa kusali mafungu kumi na tano badala ya kumi unategemea nini?? yaani hata kama hutaki kumcha Mungu utakole tu....mazoe hujenga tabia!!!
 
huwa kuna njia ya msalaba pale pia??? mie nilifikiri ni jumuiya tu!!!!

Kama unaweza kupanda tuktuk jmosi nakupitia ila fanya mazoezi ya kujishikilia kwenye kiuno.
 
haaaaa, huyo aliza naona ulumi wake umebaki kapisi kwa kujing'ata

Hahaha! Hiyo bold hiyo, hakuna ubishi bht ni dada yangu. Nguli ashakuwa bwashee tayari. Si mnaona wenyewe jamani?
 
Back
Top Bottom