Fidel80 & geof be serious!

Mpwa mwambie Xpin yule babu alivyo ondoka alivyo tulia na totoz.

dah mpwa nakwambia nchi hii eti kuna wakati vijana watashika hatamu? wazee wanakaba hadi penati, sasa kama yule babu jana kale si kajukuu kabisa mpwa!
 
Mi najua tu yale macho yanayodondoka ndio yanayokupa tabu Mpwa
Hivi na yule mwenye muonekano wa Kimbulu jina lake nani tena? Tatizo majina huwa yananipa tabu
Hahaha! Nusura wapwa wazipige walipokaona. Njoo kwenye get tugedha jumamosi ushuhudie mwenyewe.
 
Mi najua tu yale macho yanayodondoka ndio yanayokupa tabu Mpwa
Hivi na yule mwenye muonekano wa Kimbulu jina lake nani tena? Tatizo majina huwa yananipa tabu

wa kimbulu atakuwa 'Deci'
 
dah mpwa nakwambia nchi hii eti kuna wakati vijana watashika hatamu? wazee wanakaba hadi penati, sasa kama yule babu jana kale si kajukuu kabisa mpwa!

Hahahahaha mm aliniacha hoi yule mzee alivyo anza matachingi alafu mtoto analetewa Ndovu kwangu wananiambia zimekwisha ufisadi hadi kwenye vinywaji nchi hii tuione hivi hivi.
 
just did it again(ina maana hufanya hivyo mar akibao sema leo tu nguli alinichunia na alijitangazia ubachela, nafasi yangu kwake sikuielewa tena)

Ndo kusema, kuwa baada ya hapo uko single..effectively.....lol
 
Hahahahaha mm aliniacha hoi yule mzee alivyo anza matachingi alafu mtoto analetewa Ndovu kwangu wananiambia zimekwisha ufisadi hadi kwenye vinywaji nchi hii tuione hivi hivi.

mi nilijua tu mzee wa miba yule! si ndo maana tukastuka mpwa! dah...
 
Mmmh! Hilo jina tu linafanya uanze kumuepuka mapema kabla ya kupanda mbegu kwenye miiba

tena chukua tahadhari...utapanda na zisiote despite that mvua inanyesha...chunga!!
 
mmenikumbusha kale ka song ka FM Academia

Ana washangaza watu wewe kwa vitendo unavyotenda
nikifikilia tulipotoka mimi wanipa huzuni nyingi moyoni mwangu Anna endeleeni na nyie najua mkiwa mnapata masanga mnadodosha na masongi kabisaaaaaa

Nyie mabinamu huyu Anna ni nani?????????????????????
 
Nyie mabinamu huyu Anna ni nani?????????????????????

Hehehehe wapo 2 kuna Anna huyu hebu mPM Geoff muulizie Anna wa Chawote alafu kuna Eliza huyu alitaka wapwa tuchapane makonde pale Zero pub nje n'toto ana mashauzi huyo dah.!!!
 
04.jpg

Nguli hii style gani ya ufungaji mkanda? Umefunga kiti au umefunga nini hapa wapwa nisaidieni.
 
Back
Top Bottom