Fidel80 & geof be serious!

Fidel80 & geof be serious!

Hahaha! Hiyo bold hiyo, hakuna ubishi bht ni dada yangu. Nguli ashakuwa bwashee tayari. Si mnaona wenyewe jamani?

Presha ilikuwa inapanda na kushuka.....afadhali nilifikiri na huyu unabeba
 
Nimekupa haki yako mpwa lakini sisi tupo makini haya mabamp hayatupati kirais

Ha ha ha, nasubiri ya kaizer na BHT sijawahi kupata thanks kutoka kwa watajwa hapo awali then nitazigeuza ziwe signature.
 
Ha ha ha, nasubiri ya kaizer na BHT sijawahi kupata thanks kutoka kwa watajwa hapo awali then nitazigeuza ziwe signature.

Jana wa daladala alinichomokea nikamlia timing nikapiga site mirror na ngumi mm nikasonga.
 
Ha ha ha, nasubiri ya kaizer na BHT sijawahi kupata thanks kutoka kwa watajwa hapo awali then nitazigeuza ziwe signature.

hehehe nahisi msisitizo upo hapo
 
hehehe nahisi msisitizo upo hapo

Kwa Capital Letters! Na mimi niliistukia hiyo. Kuna binamu anaitwa Carmel amesema ana hamu sana ya kukuona. End of the road kwa nyamayao I bet.
 
Sio matumizi ya break tu akina nyie inabidi mfanye hazard identification
kwanza msiendeshe mkiwa lager
pili .speed tafadhari
tatu....
 
Presha ilikuwa inapanda na kushuka.....afadhali nilifikiri na huyu unabeba

Japokuwa wanasema kizuri kula na nduguyo, kuna vya kutokula hasa hasa ndugu yako anapokuwa mpwao!
 
Japokuwa wanasema kizuri kula na nduguyo, kuna vya kutokula hasa hasa ndugu yako anapokuwa mpwao!

Nenda ka audit ushailamba senksi kwa kuangalia maslahi yangu
 
Sio matumizi ya break tu akina nyie inabidi mfanye hazard identification
kwanza msiendeshe mkiwa lager
pili .speed tafadhari
tatu....
tatu.........seat ya kushoto kwako kama ni mwanaume jitahidi awe anakaa mwanaume mwenzako na kama imebidi akae mwanamke basi awe amepiga trouser kuavoid ile kuweka gia na kutelezesha mkono mpaka kunako mapaja
 
hehehe nahisi msisitizo upo hapo

just did it again(ina maana hufanya hivyo mar akibao sema leo tu nguli alinichunia na alijitangazia ubachela, nafasi yangu kwake sikuielewa tena)
 
Eliza bado yuko kwenye mchakato
Mi najua tu yale macho yanayodondoka ndio yanayokupa tabu Mpwa
Hivi na yule mwenye muonekano wa Kimbulu jina lake nani tena? Tatizo majina huwa yananipa tabu
 
Back
Top Bottom