Fidel Castro ajitabiria kifo

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,901
Reaction score
14,607

Rais wa zamani Cuba, Fidel Castro awaaga wajumbe wa Chama Cha Kikomunisti Cuba na kuwaambia atakufa siku si nyingi lakini mapinduzi yataishi

Mwanamapinduzi na kiongozi mzalendo wa Taifa Timamu la Cuba atamka alamsiki kama babu zetu walivyofanya.

Si kitu rahisi lakini hana budi .

Alizaliwa kijijini Biran mwaka 1926.
Mwaka 1955 alipokea tuzo ya Batista.Bwana huyo aliweka record ya kuogelea kipande kirefu baharini na kuingia nchini Cuba na kufanikisha mapinduzi.

Amina.
 
Naaam ukifanya mema duniani hakika matendo yako yatakufuata hata malaika wanajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…