FID Q sumu ngoma jipya

FID Q sumu ngoma jipya

Hapo mpaka mtu atulie ndo atamuelewa huyu anataka saa yule anajali muda ina maana anae jali muda tayari saa anayo? lazima kichwa kikuume kwanza kuielewa mistari yake tupo pamoja kaboom.

Ni kweli kiswahili hasa nahau zinahitaji ufahamu mi nimemuelewa; kiswahili ni kigumu si rahisi kama wengi wanavyofikiri. Wimbo una ujumbe mzito na maana kubwa uzuri Wa Ngosha huwa anaimba maisha halisi siyo kama wabana pua kila siku mapenzi. Mara utawasikia ooh usiku silali lakini nakuota. Ajabu utaota Vipi bila kulala? Au wana hallucinate?
 
Eti tunamoka ili kusafiri kihisiaaaaa


Mmmmmm aseeeeeee kila neno utenzi wake mgumu
 
wazee wa kudownload mmeshafanya yenu fasta, hahaha tutafika tu
 
Baadhi ya mashairi ya kene ngoma hii.

Naona vyura tu kama snura/
Sura ya muhuni aina kwere/

Usiache kuongea/we ni chajuu na spea

Wanachanga kwenye msiba/
Ukifa awajali kwenye udumu/
Au wanaeza kaisi umekufa kwa kukuta umezilai/
Usiposituka Africa unaeza zikwa hai.
 
Back
Top Bottom