FID Q sumu ngoma jipya

FID Q sumu ngoma jipya

Asitumie nguvu sana kuimba hiyo nyimbo, haina walaji@&$ aendane na soko lililokuwepo, that's too hard to understand the content, Jana usiku nilikuwa namsikiliza clouds fm kwa mara ya kwanza anarelease ikafika hatua wale presenter wakaweka mistari aifafae akawa ye mwenyewe hajui ipo sehemu ganiiiii>>kituko ikabidi wazuge, hata pale mwenyewe alipoambiwa afafanue mstari kwa mstari sikuwa namuelewa maana anarudia maneno yaleyale badala ya kufafanua maana halisi ya content, So Fid kwenye hii ngoma kazingua, aache hizo huu wimbo hautakaa sana sokoni utapokea within very few weeks, time will tell


Kama hujaelewa, jua wewe sio mlengwa...
 
Lakini jamaa anaweza......hiyo na unga inatakiwa tupate udhibitisho
Hahahahahah achana nao hao machalii tunawajua, shughuli ya NGOSHA inawanyima usingizi.. Wanakwambia anakopi kwenye vitabu, ukiwaambia wakutajie mstari na kitabu alichonyofoa huo mstari hakuna watachojibu zaidi ya kutafuta kisingizio kingine cha kujifariji... Hawana jipya baada ya wale jamaa zao kupoteza dira na komesho zao zisizo commercial
 
Na wewesi usome hivyo vitabu nawe utowe mistari...kichwa kama tikiti
1471108498958.jpg

Unamaanisha hili au yale ya rangi ya jeshi na combati
 
Uzuri wa hip hop mgumu, haiitaji watu wenye bongo rojo rojo, lazima uwe conscious vya kutosha kuelewa kinachoimbwa.
Na uzuri wa hip hop inatoa wigo mpana kuongelea vitu hata zaidi ya 100 kwenye wimbo au beti moja.
Respect to Mwana malundi,
One incredible, Nikki Mbishi, Songa, Darasa, Roma, Stereo, Umbwa, JCB
 
Maisha ni kama kioo ukiyachekea na yenyewe yanakuchekea ...kinaitwa the impossible is possible na mwandishi ni John mason
 
Fid q kashindikana, kwenye hii game kabaki mwenyewe anaicheza anavyotaka.

Anakwambia sumu ndani ya watu na ndio hapo tunapokwama... Tunamoka ili kusafiri kihisia, ndio mstari wangu mpaka sasa umo.

Mstari alioniacha ni "na sio bikaka kama Idris" "hakuna ambaye hakosi labda Zizi kwa deeandy "
 
Back
Top Bottom