FID Q sumu ngoma jipya

FID Q sumu ngoma jipya

daaaaaaaaaaaaah tuma na pic ya fid q mana nataka n mpost inst
bz leo n bday yke
1471081328289.jpg
 
Asitumie nguvu sana kuimba hiyo nyimbo, haina walaji@&$ aendane na soko lililokuwepo, that's too hard to understand the content, Jana usiku nilikuwa namsikiliza clouds fm kwa mara ya kwanza anarelease ikafika hatua wale presenter wakaweka mistari aifafae akawa ye mwenyewe hajui ipo sehemu ganiiiii>>kituko ikabidi wazuge, hata pale mwenyewe alipoambiwa afafanue mstari kwa mstari sikuwa namuelewa maana anarudia maneno yaleyale badala ya kufafanua maana halisi ya content, So Fid kwenye hii ngoma kazingua, aache hizo huu wimbo hautakaa sana sokoni utapokea within very few weeks, time will tell

He's in music industry, they in music buznes
See the difference
 
STRICTLY HIPHOP
Maisha hayakupi unachotaka/

Ila yanakupa unacho tafuta/
_______________________________

Wema anataka saa almas/

Zari anaujali muda/
________________________________
Hawaamin kwenye kuunda diamond au kiba wawili/

Wanachoamin ni kumshusha mmoja ili mmoja awe
dili/
__________________________________________

Daaah hzo punch nmezielewa sana

#Msukuma_Genius
#Happy birthday @therealfidq
#SUMU
 
Ni msani anaekubalika na rika zote kuanzia mimi hadi wajukuu..Hongera sana Ngosha
 
STRICTLY HIPHOP
Maisha hayakupi unachotaka/

Ila yanakupa unacho tafuta/
_______________________________

Wema anataka saa almas/

Zari anaujali muda/
________________________________
Hawaamin kwenye kuunda diamond au kiba wawili/

Wanachoamin ni kumshusha mmoja ili mmoja awe
kwenye huu mstari, salam ziwafikie mutahaba & company. kwa tabia zao za kuwagawa wasanii #shenzy type mawingu#
dili/
__________________________________________

Daaah hzo punch nmezielewa sana

#Msukuma_Genius
#Happy birthday @therealfidq
#SUMU
 
Hongera FidQ kwa kuendelea kuibeba hiphop ya Bongo... Hii ngoma ni ya dunia nyingine... Nimependa sana contradictions umo ndani... Beat inapumua... Hizi ni zile ngoma watu wanazielewa siku baada ya siku.
 
Hapo mpaka mtu atulie ndo atamuelewa huyu anataka saa yule anajali muda ina maana anae jali muda tayari saa anayo? lazima kichwa kikuume kwanza kuielewa mistari yake tupo pamoja kaboom.
wema anataka saa ya dhahabu siop ili aitumie kwenda na muda bali aitumie kuuzia sura mtaani, Zari haihitaji kuuza sura anahitaji kiwenda na muda tu kiivyovyote vile na kwa saa ya aina yoyote ile.
 
wema anataka saa ya dhahabu siop ili aitumie kwenda na muda bali aitumie kuuzia sura mtaani, Zari haihitaji kuuza sura anahitaji kiwenda na muda tu kiivyovyote vile na kwa saa ya aina yoyote ile.
Yaah lazima utulie ndio umuelewe kwa mwenye akili fupi atadhani kataja majina apate vina.
 
Anayehitaji saa ya almasi kipaumbele chake ni kuuza sura mtaani, huyo amefeli. Huhitaji saa ya dhahabu ili uende na muda.
 
Ngoma niliiskilza jana juu juu.. Nikahtaji kuipata kuisklza ktk utulivu..

Bonge la ngoma, kama kawaida yake.. Kifup hamna kama huyu jamaa kwa mambo hizi.. Mistar sumu ya koboko.
 
Yaah lazima utulie ndio umuelewe kwa mwenye akili fupi atadhani kataja majina apate vina.
wanasema eti anachukua kwenye vitabu, shwain kabisa sasa walitaka achukue wapi hawa? hao wasiochukua kwenye vitabu wanatuimbia nini? Perfect combo au?
 
wanasema eti anachukua kwenye vitabu, shwain kabisa sasa walitaka achukue wapi hawa? hao wasiochukua kwenye vitabu wanatuimbia nini? Perfect combo au?
Hakuna jambo jipya katika utunzi wa nyimbo ila ni ubunifu wa kuchanganya maneno tu kama ni mapenzi yameongelewa vizazi na vizazi so bila kunuuu labda wanataka alete maneno mapya.
 
Huyu jamaa muzik wake utaishi miaka mingi saanaa
 
Wabongo wengi hawapendi kufikiria...Wamezoea kubinua makalio tu kwenye vigodoro ...Nyimbo za kufikirisha au zenye ujumbe wao hawana time nazo.....Wanataka waimbiwe tu Kidogo dogoo wacheze Au Chekecha cheketua yani hapo ndo umewafikisha.....Ipo siku tu mtamuelewa Fid
 
Back
Top Bottom