Fid Q, How do you explain this brother?

Mleta maada unadhani utamshusha Nguli FIDq? Kitu kimoja hujatambua ni kwamba ndo unampaisha zaidi
 
Last edited by a moderator:
Kwa hiyo na kufuga rasta ame copy kwa nani? Kuvaa ana copy kwa nani?

Wewe ni mwana hip hop?

Kama ndiyo weka hapa track zako tukukumbushe ulipo copy

Kiingereza unachoongea huja copy?

Unajifanya genuine wakati we mwenyewe fake mpaka jina.

Wewe humuwezi fid mpaka kufa maandazi wewe.
 
Hip Hop ni utamaduni... Sio kila anaeishi kwa itikadi za utamaduni huu awe anafanya sanaa ya ushairi/muziki i.e RAPPING.

Wengine wanawakilisha nguzo nyingne na wengine wanaishi bila hizo lakini kwa utaratibu wa tamaduni hii.

cc Kichaafulani
 
Last edited by a moderator:


Hahaha ume-panick bro, tulia kwanza ndio tuongee fresh eroo.
 
Last edited by a moderator:

umeongea ukweli mtupu, sisi waafrica ndo tulivyo ikiwemo mimi mwenyewe. Mazoea hayo mabaya sana kwa mfano graphic designer ukimpa kazi atengeneze logo lazima ata google na kuangalia logo zinazoendana na kampuni uliyompa.
ubunifu wetu unaanzia baada ya ubunifu wa wazungu
 
Kama tupo darasani tunasema ni wa mwisho kama angekuwa anajua si angekuwa wa 3au 4mbona kawa wa mwisho? Na fid q anajua kujitangaza lakini sio msanii wa kweli uwezi ukawa msanii bora kwa ku copy mashairi ya watu
 
Hahaha Upiversity nimefuta swali mtu mzima, sitagusia tena hizo vitu, ila acha name calling. Jiandae tu kunipinga baadae, kama kawa. Amani
 
Last edited by a moderator:
Kama tupo darasani tunasema ni wa mwisho kama angekuwa anajua si angekuwa wa 3au 4mbona kawa wa mwisho? Na fid q anajua kujitangaza lakini sio msanii wa kweli uwezi ukawa msanii bora kwa ku copy mashairi ya watu

unajua sana kuchambua dogo!
Nakupa dole la kati!
 
Fid amejijengea heshima all around kama Rapper makini word-4-word, line-4-line, phrase-4-phrase, na mimi nikiri nilikuwa nampa heshima hiyo hapo kabla sijagundua nachoenda kuelezea hapa chini.


Rappers wa Marekani walikuja na lines na concepts mbali mbali kuonyesha kupinga uonevu wa polisi dhidi ya watu weusi, sana sana kwa vijana. Gangsta Rap ndio ilivalia njuga hiyo maneno, misemo kama '*** the Po-po' na mingineyo ilitokea humo, mpaka kuna story kwamba F.B.I waliwahi kuwaonya N.W.A. kuhusu kauli kama hizo za uchonganishi. Badae ikaja story kuwa, since G-Rap inachochea vitendo viovu, na Po-poz walikuwa kwenye mission ya kuwaweka ndani ama kuwaua kabisa ikibidi vijana weusi, ndio kukatokea hizo habari za wao(Police) ku-support Gangsta Rap(Indirectly) ili ku-justify mauaji yao (refer to the most lately cases of Mike Brown na Trayvon Martin).

Now, 'Hizi ni propaganda' ni track ya Fid inayozungumzia magumashi yanayofanyika Bongo. Mtu yoyote naomba anifafanulie hii line 'Polisi wana-support gangsta rap ili uhalifu uongezeke' as used by Fid Q kwenye hiyo track, coz kwangu haina maana yote humo ndani zaidi ya kuwa Mchizi kasikia wanaitumia mbele naye kaitumia.



'Free my Nigga *insert a name*'. Hii line as you probly already know, ilianzia Marekani kwa nia ya Rappers kuonyesha support yao na ku-raise awareness kuhusu wanachoamini kama ukiukwaji wa haki za ndugu au jamaa zao wanaokuwa wamefungwa kwa makosa ambayo hawakufanya. Mara nyingine huwa inatumika kuonyesha support kwa ndugu/jamaa zao waliopitiwa kidogo na kufanya makosa ambayo yalipelekea wao kuwekwa ndani(na ni kwa vifungo vifupi tu), Ila wapo vichaa waliivamia na imepoteza maana siku hizi.

Now, siifahamu vizuri hiyo kesi ya Castro ila najua aliwekwa ndani kwa mauaji. Fid kwenye 'Mchizi wangu remix' alitumia ‘Free Castro Ponela atoke jela..’(Samahani kama nimekosea majina). Publicly supporting a killer who's serving his sentence is injustice and stupid, no?

Upirvesity, Kadoda11 you were up for the challenge, na mwingine yoyote anayeweza kunifafanulia hizo, karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…