Fetish ni nini? Mjadala wa kuvutiwa kingono

Hii thread sijaona tatizo lake hata kidogo kama unavyotaka ionekane... Anyway kila mtu na mtazamo wake.
At least ukiwa na watu wako wawili au watatu mnakunywa pombe mnalewa na ku enjoy sio mbaya kuchangamsha genge kwa stori hizo kwamba labda mimi napenda mademu wembamba mwingine akasema anapenda kukaza wanene it's okay...ika sio eti mwanaume kabisa hujalewa unaanza kuzungumzia kwamba napenda kufanya mapenzi kwa namna hii na hii huo ni utoto kbs ni uchafu ni maneno yasiyo na maana
 
Sikupingi ila ujue we are equal but not the same...
 
Ni sawa na mtu tena mwanaume eti asimame mbele za watu na kuanza kuhadithia jinsi unavyooga kwamba huwa nikiwa bafuni nachukua sabuni mapaka kichwani nachukua brash najisugua tumbo bla bla yaani nasema ni utoto na kujadili mambo ya fetish matumizi mabaya ya akili

Cc hearly
 
Kwa kiswahili 'fetish' ni 'mzuka' yaani kila mtu ana 'mzuka' wake katika kufanya mapenzi!
MFANO: Witch doctor Mshana Jr yeye mzuka wake, 'fetish' yake, ni CHALE! 😅
downloadfile-17 (1).jpg

😂😂😂
 
Sikupingi ila ujue we are equal but not the same...
It's okay ila kwa kuwa watu wanapenda nyuzi zitembee kwa coments sio mbaya endeleeni kufunguka fetish zenu ila mimi mtandaoni siwezi kuanza ku comment mambo ambayo hata nikiwa na rafiki wangu niyamweleza siri zangu siwezi kumfungukia..
 
Haina noma mdau pamoja sana🤝🤝
 
Back
Top Bottom