askarikambi
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 246
- 264
Wajuzi wa kiswahili mnasemaje hapo: NAKAZA ROHO vs NAKAZA MOYO!Unaitwa NAKAZA ROHO
Wajuzi wa kiswahili mnasemaje hapo: NAKAZA ROHO vs NAKAZA MOYO!Unaitwa NAKAZA ROHO
Chege ameitaja tu kutengeneza attention, ila bado ni washkaji ndio maana kwenye show 1 ya fiesta alipanda nayeUkweli wote wamtenge Ferous, lakini Chege, Chege Chigunda mtoto wa mama Saidi? Hapana amekosea kumtenga Ferous, amekosea sana, mimi nasema hivi najua kwanini nasema. Wimbo sijausikia nisaidieni uko you tube au? Lakina Chege hapana, Mungu anakuona.
Mkuu asante ila haijamalizikaDownload hizi attachments kuna audio na video
Whatsapp situmii mie ebu weka link tusikilize wa milimani
Hapo unamsaidia auWatanzania ni ma sadistic wengi wetu nadhani ugumu wa maisha unatusumbua kwa kuwawekea vipimo vidogo vya mafanikio watu
Huyu Feruz angekua amefanikiwa au yupo kwenye mafanikio tungemfungulia "pages za kumtukana matusi "
Ila leo kafulia watu wanataka aonewe huruma wakati hela alitumia peke yake na madawa ya kulevya kutumia lilikua chaguo lake binafsi
Uko johventure website,nyimbo inaitwa kaza rohoUko wapi huo wimbo na unaitwaje?
We umeonaje mkuu,lets call white is white and black is blackHapo unamsaidia au
Ingia johventureUkweli wote wamtenge Ferous, lakini Chege, Chege Chigunda mtoto wa mama Saidi? Hapana amekosea kumtenga Ferous, amekosea sana, mimi nasema hivi najua kwanini nasema. Wimbo sijausikia nisaidieni uko you tube au? Lakina Chege hapana, Mungu anakuona.
Wajuzi wa kiswahili mnasemaje hapo: NAKAZA ROHO vs NAKAZA MOYO!

Mnasubiri afe ndio mtoe msaada,ila wabongo kawaida yenuWe umeonaje mkuu,lets call white is white and black is black
Kwani wakati anatumia ngada ulikua wapi chief ,huyo kama msaada nakuomba umsaidie kwa kumpeleka rehabilitationMnasubiri afe ndio mtoe msaada,ila wabongo kawaida yenu
Mbona chege hajamtenga had alimpa shavu kupanda Kuperform fiesta moshi...labda kama kuna jingine tusilolijua mkuuUkweli wote wamtenge Ferous, lakini Chege, Chege Chigunda mtoto wa mama Saidi? Hapana amekosea kumtenga Ferous, amekosea sana, mimi nasema hivi najua kwanini nasema. Wimbo sijausikia nisaidieni uko you tube au? Lakina Chege hapana, Mungu anakuona.
Kama ni issue ya Chege na J, hajamlaumu yeyote hapo... just lyrics!! Na ukiamini kamlaumu mtu basi ni sawa na kuamini track yake ya Bosi alikuwa anamlaumu bosi wake!!!Ni kosa kubwa sana kukazania kulaumu Watu hawakusaidii kwa makosa yako mwenyewe badala ya kupambana na hali..,
Dah, umenikumbusha! Juzi nilitaka kuangalia short film ya Liberian Girl, nikapitiwa... ngoja nietendee haki!!!iNilikuwa nasikiliza Michael Jackson's "Wanna Be Startin' Something", wimbo ulio katika album yenye mauzo mengi kuliko zote duniani nafikiri, Thriller .
Ahsante... watu wanadhani kamlenga Chege na J personally kumbe just lyrics!!Chege ameitaja tu kutengeneza attention, ila bado ni washkaji ndio maana kwenye show 1 ya fiesta alipanda naye