Ferooz awaanika Prof Jay na Chege

Ferooz awaanika Prof Jay na Chege

Watanzania ni ma sadistic wengi wetu nadhani ugumu wa maisha unatusumbua kwa kuwawekea vipimo vidogo vya mafanikio watu

Huyu Feruz angekua amefanikiwa au yupo kwenye mafanikio tungemfungulia "pages za kumtukana matusi "

Ila leo kafulia watu wanataka aonewe huruma wakati hela alitumia peke yake na madawa ya kulevya kutumia lilikua chaguo lake binafsi
 
Kaza roho km jina la nyimbo yako inavyoitwa,najua marafiki wengi wamekukimbia ,mapromota wamekutenga ila sisi mashabiki wako tuko pamoja,nyimbo ni nzuri ila kwakuwa baadhi ya watu hawakupendi haitahit,kaza roho bro,we love u so much,ni mapito tu ya dunia
Uko wapi huo wimbo na unaitwaje?
 
Sijui amewakosea nini,amemtaja hadi chege
Ukweli wote wamtenge Ferous, lakini Chege, Chege Chigunda mtoto wa mama Saidi? Hapana amekosea kumtenga Ferous, amekosea sana, mimi nasema hivi najua kwanini nasema. Wimbo sijausikia nisaidieni uko you tube au? Lakina Chege hapana, Mungu anakuona.
 
Kosa la binadamu popote pale lipo katika sekta ya kuchagua. So chagueni kwa umakini msije lalamika mbeleni
 
Ukweli wote wamtenge Ferous, lakini Chege, Chege Chigunda mtoto wa mama Saidi? Hapana amekosea kumtenga Ferous, amekosea sana, mimi nasema hivi najua kwanini nasema. Wimbo sijausikia nisaidieni uko you tube au? Lakina Chege hapana, Mungu anakuona.
Mkuu ebu dadavua basi kuhusu chege na ferous
 
Ukweli wote wamtenge Ferous, lakini Chege, Chege Chigunda mtoto wa mama Saidi? Hapana amekosea kumtenga Ferous, amekosea sana, mimi nasema hivi najua kwanini nasema. Wimbo sijausikia nisaidieni uko you tube au? Lakina Chege hapana, Mungu anakuona.
 
Mungu atakuwa na ww feruzi ndio dunia yetu utakua unafanya makosa utakapokuwa mnyonge wakati ni mambo ya kawaida.
So kama Mungu atakua na ww basi binadamu hana lolote.
 
Ukweli wote wamtenge Ferous, lakini Chege, Chege Chigunda mtoto wa mama Saidi? Hapana amekosea kumtenga Ferous, amekosea sana, mimi nasema hivi najua kwanini nasema. Wimbo sijausikia nisaidieni uko you tube au? Lakina Chege hapana, Mungu anakuona.

Unapokuja hadharani ukiwa na lawama wakati umeskia upande mmoja unadhani una Act reasonably. „no one should be judged without being heard „ that’s a natural Principle.
 
Back
Top Bottom