Sanctus Mtsimbe
R I P
- Jul 14, 2008
- 1,820
- 1,036
Anatafutwa Co-Presenter/Host (Female) atakasaidiana na main Main Host/Presenter katika Talk Show inayotarajiwa kuanza kurushwa katika Luninga hivi karibuni kila wiki kwa saa moja.
Sifa:
- Awe anajua vema Kiingereza na Kiswahili
- Anayejiamini
- Awe "anatazamika" kwa viewers wa TV na waalikwa katika kipindi (Presentable)
- Anayeweza kuongea na kuendesha kipindi kwa umahiri wa hali ya juu
- Anayeweza kujifunza; kuchambua issues kwa haraka na kuziwakilisha ina a Motivational Way
- Kipaji cha kuleta positive au negative emotions wakati wa kuendesha kipindi
Kwa aliye na sifa anaweza kutuma CV na kuniandikia: mtsimbe@micronet.co.tz
ngoja niwaite ndugu zangu hapa Lady doctor, Passion Lady, charminglady, WiseLady, sweetlady, FirstLady, Smile, cacico na wengineo kujeni huku kuna kazi ya ziada baaday yaa kazi zenu
part time job hiyooooooooo
Anatafutwa Co-Presenter/Host (Female) atakasaidiana na main Main Host/Presenter katika Talk Show inayotarajiwa kuanza kurushwa katika Luninga hivi karibuni kila wiki kwa saa moja.
Sifa:
- Awe anajua vema Kiingereza na Kiswahili
- Anayejiamini
- Awe "anatazamika" kwa viewers wa TV na waalikwa katika kipindi (Presentable)
- Anayeweza kuongea na kuendesha kipindi kwa umahiri wa hali ya juu
- Anayeweza kujifunza; kuchambua issues kwa haraka na kuziwakilisha ina a Motivational Way
- Kipaji cha kuleta positive au negative emotions wakati wa kuendesha kipindi
Kwa aliye na sifa anaweza kutuma CV na kuniandikia: mtsimbe@micronet.co.tz
FTP you are right. Hata hivyo hata kama ungekuwa na PhD ya Journalism lakini vigezo vilivyotajwa huna, then haitasaidia sana. Sifa zote zilizotajwa ni muhimu.We vip? hizi kazi siyo kwamba zinasomewa? mbona sioni sifa ya kusomea Journalism & broadcasting?
Ndiyo maana vipindi vya bongo havina mvuto! kwa hapa tayari mdau ushakosea,utapata tu mdada mlembo eti kisa ana sura,anajua kiingereza hata kama amepata 'Division Five'
Kinatofauti gani na wanawake Live au Lugha
Kubwa sana tu. Stay tuned 24th November 2013.
mambo mengine yote nitaweza iila sasa hapo kwenye anayetazamika ndo issue nzito
WoooW !! its a good opportunity ... Lakini lafudhi yangu ni ya kiaraabu Je itakubalika?
We vip? hizi kazi siyo kwamba zinasomewa? mbona sioni sifa ya kusomea Journalism & broadcasting?
Ndiyo maana vipindi vya bongo havina mvuto! kwa hapa tayari mdau ushakosea,utapata tu mdada mlembo eti kisa ana sura,anajua kiingereza hata kama amepata 'Division Five'
Ofcozi, Vigezo viko zaida ya sawa; Interview lini?As long as vigezo vingine viko sawa. Karibu.
Hapana, kuwa tv talk show host si lazima usomee. Sana sana ni kipaji tu.