feedback ya kikao na mkurya

feedback ya kikao na mkurya

Namalizia kukushauri hivi,
siku nyingine usithubutu kuingilia ugomvi wa watu walio wahi kushea
shuka au wanao endelea kushea shuka! hii milango ya vyumba vya baba na
mama ikishafungwa huwa hatujui nini kinaendelea huko! ni vyema ukahama
hapo maana nahisi kuna aibu inakunyemelea rafiki!

mungu aepushe mbali hiyo aibu
 
Asante kwa feedback a.k.a mrejesho. life goes on. vipi hawara bado anapoa hapo kwa jirani au kesha sepa?
 
Kwanini mdau

kisa kinahusu usaliti ktk ndoa, mume wa kikurya amemsaliti mkewe (aliyeko masomoni nje ya nchi) wa kikurya asiye na king'amuzi kwa kumgegeda mdada wa kijita mwenye king'amuzi( ambaye wazazi wa me waligoma kuolewa na kijana wao kisa ana king'amuzi, wakati ndo chaguo la huyo me) wadau wakaomba picha. picha yenyewe ndo hiyo...... nashindwa kuhusisha na kisa hiki. labda nielekeze uhusiano wakr mkuu
 
Asante kwa feedback a.k.a mrejesho. life goes on. vipi hawara bado anapoa hapo kwa jirani au kesha sepa?

wewe nawe utasutwa na matarumbeta........ yupo bana
 
Siku nyingine ujifunze ona ilivyokucost, ila pole sana
 
Thanks for the feedback DEMBA.. But I have learnt one important thing about you!
 
Last edited by a moderator:
Hongera.

Don ever trust him.
 
Back
Top Bottom