sasa unashukuru umeweka wewe??
picha aweke Excel shukrani upewe wewe? halafu unaitikia kwa nguvu kweli! ahsante mkuu!!!!!
Jodoki Kalimilo hiyo picha haijawekwa na LILENDI bwana wala asijipe kichwa!
kwanza kabisa naomba nitoe shukran zangu za dhati kwa wadau waliochukua muda wao na kunishaurii nini nifanye baada ya tukio la jana kwa kweli mlinipa ujasiri mkubwa. ahsanteni sana na mungu awabariki daima
kwa wale ambao mlinizodoa vile vile nawashukuru kwani kwa kiasi fulan mlinielimisha.
turudi kwenye mada
kikao kilifanyika kwenye majira ya sa mbili na jirani alikuja akiwa amepoa kabisa. aliniambia mengi ambayo yaliniacha mdomo wazi.
kumbe huyu kimada ndio chaguo lake na alishazaa naye ila wazazi wake walikataa asimuoe kwa sababu sio mkurya (ni mjita) na ni mchafu (hajatahiriwa) ndipo wakamtafutia huyo shost ambaye anasoma huko nairobi. kipindi hicho alikuwa binti mdogo wa sekondari. alipomaliza tu sekondari akamuoa na akatakiwa amuendeleze.
mimi nikamwambia kwamba ni kweli mimi nilimwambia lakini alishakuwa na taarifa na mimi nilifanya finishing tu.
ameniomba tubadilishe story lakini mimi nimekataa kujihusisha na mambo yao nimemwambia amalizane nalo yeye mwenyewe. na nimeamua kwamba nisiendelee kukaa hapa kwani anaweza kuwa na kinyongo.
hivi wakurya hii mila ya kutahiriwa bado wanaifanya haaa!!!!! sikujua kama bado inamashiko. mmh inabidi muache jameni.
cc Sista chakii 'Valentina' Asprin watu8 sungura1980 mwekundu Gefu IROKOS BADILI TABIA kuberwa miss wa kinyaru Nambe gfsonwin Ruttashobolwa Mentor atoto miss chagga Munkari Mapi jamiif amu King'ast Mamndenyi Heaven on Earth Baba Wawili 2012 Ennie Malafyale josephmasamaki bahatika SUZANE mwallu mshana jr charminglady matmafcha pipii ushiboy nameless girl Chimunguru Kiboko PetCash amu
DEMBA ulikua unanipa mawazo
kweli, nilikua nawaza nn hatma yk, ww siunajua shemeji yako mkurya?
kanikosakosa kunitoa nundu mara kadhaa!! Nilijua hii ni zamu yako,
bahati yk angekun'goa meno ya sting room. chezea mkuria ww.....
safi sana, nimefurahi
kusikia kuwa hili suala limekwisha maana nilikuhurumia sana kwa jinsi
ulivyokuwa na ule woga. Ni maisha tu haya ndio maana wanasema kua
uyaone...hongera kwa kulimaliza ndg yangu, nawe pia Mwenyezi Mungu awe
nawe daima.
Afadhali kawa mpole na mkweli kwako, huo uamuzi uliochukua ni mzuri. asante kwa feedback.kwanza kabisa naomba nitoe shukran zangu za dhati kwa wadau waliochukua muda wao na kunishaurii nini nifanye baada ya tukio la jana kwa kweli mlinipa ujasiri mkubwa. ahsanteni sana na mungu awabariki daima