feedback ya kikao na mkurya

feedback ya kikao na mkurya

Kwa mtazamo wangu hafifu my dear naona huyo bwana yote hiyo ni defensive mechanism.
Sawa inawezekana alilazimishwa kumuoa huyo bibie nae akakukubali ila akaendeleza mapenzi na kipenda roho chake.
Sasa kisa cha kumleta huyo sweet wake kwenye nyumba anayoishi na mkewe ni kipi.
Si angeendelea kuonana nae huko huko alipokuwa anaishi mwanzo.
Huyo bwana si mstaarabu hata kidogo na kit.o.m.b.I tu hana lolote
Narejea kauli ya The Boss ukimuendekeza huyo utakuwa mke wa tatu.
Na kama anajua mkewe anajua mkanda mzima anaogopa nini mpaka akuombe ubadilishe story. Anakutega huyo asije akakubadilishia kibao kwa mkewe kuwa ulikuwa unamtaka ndio maana ukataka kuwagombanisha...

HALAFU WANAWAKE WENGINE??
mie huyo kimada anayekaa kwenye nyumba ya mwenzie bila aibu simuelewi hata kidogo.

hilo hapo kwenye bold hata mimi nimelitafakari sana. lakini hata akifanya hivyo ipo siku ataumbuka tu, all in all hapa hapanifai tena
 
ukiwa mjini hivi huwezi kujua hali ilvyo huko ukuryani yaani unaambiwa huko mwanamke asiye tahiriwa si mtu na wanadai anatengwa kabisa.
NIULIZE MIMI NILIYEZALIWA HUKO KUKULIA HUKO SHULE HUKO KAZI KWINGINE HATA KURUDI TU SITAKI WALE WASIOFANYIWA FGM HAWATHAMINIWI TENA NIMEKULIA NA KUSOMEA INTERIOR UKITAKA ZAID NITUMIE PM NIKUPE FULL DATA MPAKA PICHA UKITAKA NINAZO!!!!!!!!!:A S 2152:

cc Munkari
 
Last edited by a moderator:
180325_152060964852109_4151639_n.jpg

ndio dawa ya waomba picha
 
DEMBA, chunga usiongezwe kwenye list, "jirani"!!!!:A S 39:
 
Last edited by a moderator:
hivi hizi ngo's mbona sinaishia mijini tu. yaan huko vijijini wanahitaji elimu sana. kuna mila zao nyigi tu si za kiungwana.

Hizo NGO'S nyingi ni miradi ya "vigogo" ambayo lengo lake kuu si kumkwamua mwananchi bali kuchumia matumbo yao. Wanawake wao wenyewe wanaotendewa ukatili huo wanapaswa kusoma kwa bidii na kuanza toa elimu kwa ndugu na jamaa zao huko vijijini.
 
daaah nchi hii bana. lakini tutafika tu. wanawake huko naona wanaishi ishi tu, sijui kama wanaona raha ya maisha
Hizo NGO'S nyingi ni miradi ya "vigogo" ambayo lengo lake kuu si kumkwamua mwananchi bali kuchumia matumbo yao. Wanawake wao wenyewe wanaotendewa ukatili huo wanapaswa kusoma kwa bidii na kuanza toa elimu kwa ndugu na jamaa zao huko vijijini.
 
Kwa mtazamo wangu hafifu my dear naona huyo bwana yote hiyo ni defensive mechanism.
Sawa inawezekana alilazimishwa kumuoa huyo bibie nae akakukubali ila akaendeleza mapenzi na kipenda roho chake.
Sasa kisa cha kumleta huyo sweet wake kwenye nyumba anayoishi na mkewe ni kipi.
Si angeendelea kuonana nae huko huko alipokuwa anaishi mwanzo.
Huyo bwana si mstaarabu hata kidogo na kit.o.m.b.I tu hana lolote
Narejea kauli ya The Boss ukimuendekeza huyo utakuwa mke wa tatu.
Na kama anajua mkewe anajua mkanda mzima anaogopa nini mpaka akuombe ubadilishe story. Anakutega huyo asije akakubadilishia kibao kwa mkewe kuwa ulikuwa unamtaka ndio maana ukataka kuwagombanisha...

HALAFU WANAWAKE WENGINE??
mie huyo kimada anayekaa kwenye nyumba ya mwenzie bila aibu simuelewi hata kidogo.

bora umwambie wewe ndo ataelewa
 
Bora hata ulivokataa 'kutengua kauli' kwa bibie wa nairobi, hapo si ajabu huyo mbaba amekudanganya.... who knows, mana hiyo ni tabia yao ya asili, usije jikuta wajiingiza kwenye dhambi ya uwongo usiokusudiwa.
Hongera kwa ujasiri wa kuibuka kwenye kikao mamiiiiii...
 
hahahahahahaha.....mliishia kwenye stori tu kweli??? hamkupoozana
 
Bora hata ulivokataa 'kutengua kauli' kwa bibie wa nairobi, hapo si ajabu huyo mbaba amekudanganya.... who knows, mana hiyo ni tabia yao ya asili, usije jikuta wajiingiza kwenye dhambi ya uwongo usiokusudiwa.
Hongera kwa ujasiri wa kuibuka kwenye kikao mamiiiiii...

ahsante mpenz
 
Hongera kwa kuyamaliza salama . Uamuzi wa kuhama ni wa busara zaidi .
 
DEMBA ulikua unanipa mawazo kweli, nilikua nawaza nn hatma yk, ww siunajua shemeji yako mkurya? kanikosakosa kunitoa nundu mara kadhaa!! Nilijua hii ni zamu yako, bahati yk angekun'goa meno ya sting room. chezea mkuria ww.....
 
Back
Top Bottom