MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 27,577
- 30,006
AmenUmeongea pointi nzuri sana.Nimebahatika kuishi Congo DR,Ghana,Senegal,Mali.Kwenye nchi hizi unakuta fedha zao zina nguvu kuliko za Bongo.Lakini nikawa nashangaa nikibadilisha $ 100 kwenye nchi hizi bikaenda dukani unanunua vitu viko juu sana wakati bongo dola mia unafanya shopping hatari.Lumbumbashi,Dakar,Bamako,Accra hotel ya dola 100 (200,000 hivi) huku bongo ndiyo hotel za 30,000 hadi 50,000.TZ tuko vizuri ila hadi utoke nje huko uangalie na wengine.Kwa Afrika humu Tanzania iko mbali sana,nchi nyingi za Afrika ziko hoi,kazi huwa zinanifikisha vijijini huko.Ukienda Central afrika pale utatokwa machozi maisha ya watu .Mungu ibariki Tabzania