FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

000k
Semedo leo wamemuonea alikua tu anaufuata mpira hata haelewi elewi formation

Sent using Jamii Forums mobile app
kacheza Vizuri hizi mechi za kwanza haitakiwa kuleta manjonjo. Kamzuia costa kupiga cross/kufunga na kuna moja kamuiba mtu. Timu imecheza utamu sana. Juve wamevunja arsenal yao yote lakini wamekalishwa na vijana wadogo wakina Marlon, dennis et al.
 
Dyabala kaingia dk 05 za kwanza akazungusha lakini S Basquets akaenda kushika dogo vipi?kamtia mfukoni akawa haonekani ,Higuan akakutana na Umtiti akapotezwa na Douglas Costa wao akawa anakimbizana na Semedo amepiga cross moja tu basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
22b99425313c5efe847d333460ce3dbd.jpg
calma - calma
 
observation yangu nimeona kwamba Semedo alikuwa anawakabili 2 players at a time cause right wing midfielder was not doing his defensive duties
Na kikosi cha kwanza uliiona power house (engine) za katikati kuanzia Rakitic, Iniesta na Messi walifanya nini katikati hadi Juv ikawa wakiupata mpira ni kama wanaumulika kwa torch
 
  • Thanks
Reactions: PNC
mobile app[/URL][/QUOTE]
Kwa bongo ni world football king'amuzi cha startimes number 254
Jamani haya ni maneno ya kocha wetu inshort hata mimi lehman nililiona hilo hua tuna attack together na ku defend wote nimeona hata king jana alikua anakaba sana pale kati
 
Attachments

  • Screenshot_2017-07-23-14-30-56-1.png
    Screenshot_2017-07-23-14-30-56-1.png
    79.2 KB · Views: 28
  • Thanks
Reactions: PNC
Need help please,kwa sasa niiko usukumani village,mpira wa leo nauangalia vipi?? nina roaming internet but usual websites inakuwa taabu huku. Jamaa akikosa angalia mpira leo naweza pewa divorce-yaani mpaka kaniambia uliza huko kwenye forum yenu
Ha ha ha. Kweli umebanwa

sent from my BBC using JamiiForums mobile app
 
Rumours :za jana &leo Baba yake Neymar ambaye ni Neymar Sr ndiye anaye force transfer ya mtoto wake to PSG

My take :mzee hayuko informed sana kuhusu transfers za players yeye akili yake anaota fedha nene tu ,huyu mzee hajui pia utaratibu wa FFP (Financial fair play) .Mimi kama shabiki wa Barca nimezoea wa brazil wakiwika muda mfupi na ku disappear tofauti na matarajio ya wengi Rivaldo alicheza muda mfupi sana ,hata Delima hakung'ara muda mrefu tofauti na matarajio,yuko wake Robinho?yuko wapi Kaka?Neymar is supposed to be loyal kuhama clubs hakutamfanya a shine sana

Nakumbuka mwaka jana gangs za Madrid wali expose financial secrets za Barca players kwa njia ambazo ni unethical ikaonekana Neymar analipwa fedha kidogo kushinda Antonio Martial wa united kwa bahati sana management ili respond positively kwa kumuongezea Neymar hela ambayo inamfanya kuwa mchezaji ghali sana duniani na barcelona on their side moja ya terms wali inject buy out clause ambayo ni kubwa mno( £222M) ambayo simply maana yake Barca hawahitaji Neymar anunuliwe ili tum utilise ipasavyo cha ajabu zaidi mwezi November 2016 wakati Neymar anasaini aliambatana na Neymar Sr sasa sijui kasahau?

Thats why Bartmeo akawaambia tu simply Neymar is not for sale na ili umnunue kuna conditions hizi inabidi uzi fullful
1.Comply with FFP
2.Management ya Barca ishushe buy out clause (kwa kifupi waruhusu uuzwe)
3.Exchange -ataponunuliwa Neymar umbadilishe na player/s kadhaa na utoe kiasi cha fedha chini ya hiyo buyout clause.
So simply watu wanaota about transfer ya Neymar
Na simply wanataka fans wa Barca tumchukie Neymar

(Analysis ya mwekundu wa JF)
 
Good explanation mkuu
 
angeenda tu halafu tulete dyabala mnyama soksi hazipandi juu....dogo kama anataka kujiona mkubwa kuliko timu na dingi mwenyewe tamaaa muda wote
 
Wewe uko kama mimi moyo baridi...narudia tena Neymar ana replacement tena best tofauti na mtu kama Messi

Mkuu nakuhakikishia akienda huko psg nampa msimu mmoja tu hakuna timu mule hela tu za mafuta basi halafu hasitegemee tuzo ya dunia akitokea league 1........watupe ata nusu ya hiyo hela na verrati halafu tulete mchawi wa kiargentina dybala mnyama kila siku tutakuwa tunaona alama yake ya mask ya ushangiliaji.....mwenzake dani alves kakaa miaka nane barca sasa hivi unatafuta pensheni yake ya kustafia tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom