FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

47d233aac583c739f6bc70758774c8dc.jpg

hii ndio barca
 
Screenshot_2017-05-28-23-11-20-1.png

Nadhani jini la celta Virgo litatusumbua next season as usual ,my favorite anaenda huko Juan unzue ambaye binafsi nilipenda awe kocha wetu

Two hours to come Bartemeu anamtangaza rasmi Velverde kuwa new manager wa Barca stay tuned
 
View attachment 516280
Officially nusu saa iliyopita Velverde ametangazwa kama new manager lets hope for the best Mungu amsaidie we(Barca) are so ambitious
Tutampima mwishoni mwa league
Laza tusumbue sana msimu ujao. Tunaanza kuwapiga wale nyangenyange kwenye Spanish super cup. Mfumo tunaocheza ndiyo bora kabisa kwa sasa duniani. Tunahitaji tu watu sahihi. Timu zingine zinahangaika kupata mfumo mzuri na wachezaji wazuri. Hivi huyu Velverde hawezi kuja na inyaki? Namkubali kishenzi yule dogo kwenye attack japo hana macho na goli.
 
Mpongezeni MESSIAH WENU...kwa kutwaa kiatu hicho dhidi ya Cr7,Lakini mwambieni ajipange msimu ujao ana kazi ya kufanya...maana kama sio yale majeruhi ya EURO 2016 Yaliyompa majeruhi Ronaldo na kupelekea akakosa mechi za mwanzoni za ligi...Huyo messi angeishia kukisoma icho kiatu kwenye magazeti mwenzie akipewa, but alistahili maana alikuwa kwenye best form ya ufungaji.

Golden_Shoe,_Lionel_Messi_2012-2013_01.jpg
 
View attachment 516152
Mr President ......!! anaenda kumaliza shughuli ya masomo this summer

Huyo pique...kama vip angebakia hukohuko Tu Harvard....maana kiuhalisia kwa wanaojua soccer ni wazi pique haitendei haki nafasi yake uwanjani kama CB...ila Tu ni ule mfumo mzuri waliokuwaga nao barca Wa Tik-tak umemfanya pique asipatwe na mashambulizi makali ya forwards Wa timu pinzani maana timu inakaa sana na mpira kwa mfano inafikiaga wakati Barca ana POSSESSION YA 74% Sasa hapo timu pinzani itapiga mashambulizi gani ya hatari golini kwenu?...Pia ule uwepo Wa Javier mascherrano umemsaidia...wewe angali mechi nyingi za barca huko nyuma mascherrano amefuta makosa mengi ya uzembe wa pique.
 
Pique ni beki mzuri huwez mlinganisha na Ramos wako alianzia RB pique akifanya kazi Spain wapate world cup
 
Pique ni beki mzuri huwez mlinganisha na Ramos wako alianzia RB pique akifanya kazi Spain wapate world cup

Kataa lakinii Huo ndo ukweli na ukitaka kuproove hicho nilichosema ANGALIA MECHI AMBAZO PIQUE AMECHEZA NA UMTITI PALE UTAONA KABISA DEFENCE ERRORS NYINGI SANA....ILA NI TOFAUTI PIQUE AKIKAA CB NA MASCHERRANO MAANA JAVIER ANAJUA UDHAIFU WA PIQUE HIVYO UCHEZA KWA AKILI PALE...NA NDIO MAANA MASCHERRANO HUWA HAPANDI MBELE HOVYO...ILA UMTITI BADO HAJAMSOMA VYEMA PIQUE...Swala la pique kukipiga kwenye National team ya Spain nadhani ni Utaifa zaidi...unafikiri wasipomweka yeye akae nani pale?...pia Spain kuwa na viungo bora ndo iliwasaidia sana kutwaa hilo kombe la dunia [HASHTAG]#2010[/HASHTAG] na sio pique.
 
Kataa lakinii Huo ndo ukweli na ukitaka kuproove hicho nilichosema ANGALIA MECHI AMBAZO PIQUE AMECHEZA NA UMTITI PALE UTAONA KABISA DEFENCE ERRORS NYINGI SANA....ILA NI TOFAUTI PIQUE AKIKAA CB NA MASCHERRANO MAANA JAVIER ANAJUA UDHAIFU WA PIQUE HIVYO UCHEZA KWA AKILI PALE...NA NDIO MAANA MASCHERRANO HUWA HAPANDI MBELE HOVYO...ILA UMTITI BADO HAJAMSOMA VYEMA PIQUE.
mkuu wew unamtetea sana Ramos kma ni bora na pique mbovu mbona kila eliclasico miaka ya karbuni barca inashinda na Ramos anafanya utoto ambao hata varane haufanyi inshort uimara wa ramos unaouona ww ni wa game za EIBAR cio?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom