Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,127
- 11,908
Hatuna majibu mkuu.. tunasubiri watolewe neymar ajeKweli PSG hawana tofauti na wamasai na usithubutu kamwe kuwapa dhamana wanaweza wakakuachia shuka.
Magoli gani yale wanayofungwa hadi unajiuliza alimfungaje Bayern Munich kwa ubovu wa ukuta wao huu???
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app