FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kweli PSG hawana tofauti na wamasai na usithubutu kamwe kuwapa dhamana wanaweza wakakuachia shuka.

Magoli gani yale wanayofungwa hadi unajiuliza alimfungaje Bayern Munich kwa ubovu wa ukuta wao huu???

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Hatuna majibu mkuu.. tunasubiri watolewe neymar aje
 
Tuwape na nyongeza
FB_IMG_1620671731069.jpg
 

Similar Discussions

48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom