Nimeisoma tetesi hii kule The Mirror na kuna ukweli ndani yake wacha tusubiri...aiseee likiwezekana hili dah WAMEKWISHAAAA
messi na ronaldo kwenye timu moja hahaha itakua ni tukio la kihisroria kupata kutokeaNimeisoma tetesi hii kule The Mirror na kuna ukweli ndani yake wacha tusubiri...aiseee likiwezekana hili dah WAMEKWISHAAAA
Kweli kabisa Mkuu!!!Messi
Best player Messi
Top scorer Messi
Man of the match De Maria
Goalkeeper bora Emi MartinezView attachment 1849186
Balloon dor on its way...
Sasa Messi anaweza staafu tu sina lingine la kumdai
Watu wana jicho ma maono ya mbali sana, bora kashinda hili kombe daahKweli kabisa Mkuu!!!
Kama vip astaafu 2 na kwamba hata wasipompa Ballon D'or yake ya 7 ni sawa tu. Ila wakumbuke Mtaalam wa tiktaka aliwahi kutabili kuwa "probably he may win 5, 6 or 7 Ballon D'or".
Ni Raha Sana "yaani namba ya jezi (7) ya hasimu wake mkubwa CR7 ndiyo inaenda kuwa idadi ya Balloon D'or ambazo Mfalme Messi10 atakuwa amewahi kushinda. Raha Sana!!! ....Messi
Best player Messi
Top scorer Messi
Man of the match De Maria
Goalkeeper bora Emi MartinezView attachment 1849186
Balloon dor on its way...
Sasa Messi anaweza staafu tu sina lingine la kumdai
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🐐🐐🐐🐐🐐Ni Raha Sana "yaani namba ya jezi (7) ya hasimu wake mkubwa CR7 ndiyo inaenda kuwa idadi ya Balloon D'or ambazo Mfalme Messi10 atakuwa amewahi kushinda. Raha Sana!!! ....
Yeah!!! "Johan Cruyff" huyo Mzee!!! Kati ya malijendari wa soka la kuvutia kuwahi tokea katika Sayari hii.... Katika ubora wake kwanini astabiri UKWELI??!!!!Watu wana jicho ma maono ya mbali sana, bora kashinda hili kombe daah
Kweli kabisa Mkuu!!!
Kama vip astaafu 2 na kwamba hata wasipompa Ballon D'or yake ya 7 ni sawa tu. Ila wakumbuke Mtaalam wa tiktaka aliwahi kutabili kuwa "probably he may win 5, 6 or 7 Ballon D'or".
Sio miwili Alafu Malipo yatakamilika miaka kwa miaka mi5!Rasmi Messi tunae Mitano tena!!
Griezmann anarudi Atretico wao Atretico wanatupa midifielder wa spaon Saul Niguez
Yajayo yanafurahishiView attachment 1854206
MES QUE UN CLUB_"More than a club"Sio miwili Alafu Malipo yatakamilika miaka kwa miaka mi5!
Ndo umejua Leo????Hii club imefilisika.