Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,127
- 11,908
Mimi nawaangalia hawa madogo, asee perez yuko vizuri, tobido ni kisiki hata de ligt siikumbuki tena.. L9-G17 connection imetulia bado messi hapo. Demboz aliboronga sana mechi zilizopita ila hii na napoli ameonyesha uhai.. Ila sitaweza mvumilia msimu wa 3 huu akizingua
Huu ushindi wa jana unanipa confidence Barca yetu itakuwa bora sana, huu msimu inapaswa tufikr fainali ya uefa kivyovyote vile..