SINA JAMBO
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 340
- 270
Hii mechi kumuanzisha Messi sub sijapenda kabisa, bora Dembouz angekuwa mzima yupo pale mbele ningekuwa na amani, malcom bado sana labda leo aoneshe maajabu
Sent from my iPhone using JamiiForums
Malcolm ndio msumbufu pekee katika safu ya ulinzi
Barca na messi ni kama mtanzania na bima
Sent using Jamii Forums mobile app
Messi ana injury angepaswa apumzike hawa watoto wanalipwa hela za nini? Wapambane ya hela Yote wenyewe.
Siku hizi Coutinho kawa mzigo, pale Barca tuliuziwa mbuzi kwenye gunia. Mzazi haendani kabisa na bei yake. Just ordinary and mediocre player.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwangu leo Man of the match ni Gerald Pique. Leo kaonyesha maturity kwa clearance za kibabe sana.
Kama humuelewi Nelson Semedo basi upimwe mkojo. He bossed the whole right wing, alikosa tu mtu wa kumalizia pasi zake.
Suarez was extremely poor today, Coutinho was average as always.
Next match tukiwa na Messi, Dembele na Roberto, jamaa wanachezea koki.
- KANA -
mii nauliza kuna mkataba gani kati ya barca na huyu suarez maana naona leo kapoteza tu mipira kijinga kabisa halafu eti kocha anamtoa coutinho anamuacha suarez hadi full time barca akifanya mchezo pale santiago bernabeu watatoka na kilio
Hili la cot hata mimi nilishalisema, lakini nikaonekana mjinga.
Kabisa little magician akitokea kati anakuwa wa moto sanaCoutihno ni mzuri akiwa anacheza kutokea kati lakini sio kumchezesha kama full forward
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hana kitu Coutinho tulikuwa desperate tunahitaji mtu wa kuremplace neymar ndio maana tukauingia mkenge. Coutinho yuko very predictable, ikitokea anakata kona kuingia kulia kila mtu anajua anataka kupiga shuti. Pasi anapiga hazifiki, ananyang'anywa mpira kizembe.Kabisa little magician akitokea kati anakuwa wa moto sana
Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
sema dogo Arthur akikutana na kaka zake wakina luka maduara na ndugu yake toni anawafanya wanakuwa wanyonge pale sebuleni anakuwa boss wao
Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
Jipeni matumaini na mlivyodesperate ya kununua wazee tunawasubiri kwa hamu.Magazeti ya Spain yanadai Madrid watijutia hii mechi-na inabidi wawe a team of both halves sio baada ya half mmoja wanachoka.Barcelona were slow out of the blocks but baadaye they had the game under control.Opportunity hii ambaya Coutinho na Suarez walikuwa very average haiwezi tokea tena ktk return leg-Gazetti linadai R Madrid wajihesabu kwamba washatolewa