Velverde keshaaambiwa return game acheze 1:1:8- yaani tu park bus ndani ya 18 yao-tuwafanye ile kitu tulimfanya PSG-haya makombe mengine bana yanatuumizia wachezajiHapo sawa asee marudiano tutafanya kitu kizito sana
Kaiweka faulo ka ya Messi vile..Jana Moneymar kapiga goli nne Psg wajishinda nane bila. Moneymar ni moto mkubwa sana.
Duh itakua noma sana mkuuVelverde keshaaambiwa return game acheze 1:1:8- yaani tu park bus ndani ya 18 yao-tuwafanye ile kitu tulimfanya PSG-haya makombe mengine bana yanatuumizia wachezaji
Of course[emoji87] [emoji87] [emoji2]He had a good teacher🙂🙂🙂
usajiri wa mtu kwetu ni private so haina haja ya kutangaza au kuprove ni hawa maana haikusaidi kitu endapo aujaifahamu wanaojijua wameona, imetosha hakuna haja ya malumbanoHakuna mdau wa hizo mambo hapa, kama yupo mtaje tumtafte asibitishe. Hapa yanaongelewa mambo ya Barca tu
Wale watoto wa nyumbani wamewakomalia balaaaAdui muombee njaa,
Atletico kadroo leo.
Tukishinda kesho tunakwenda 11 point clear at the top.
[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]
Wale madogo wabishi waliwapiga MadridogsWale watoto wa nyumbani wamewakomalia balaaa
Hali teteView attachment 681220
Mkabaji wa tuzo mwaka huu sijui atachomoka vipi amekalia chuma
Ujanja ujanja wa kuvizia sahivi hauna nafasiHali tete
Na PSG February wanamsubiri...View attachment 681220
Mkabaji wa tuzo mwaka huu sijui atachomoka vipi amekalia chuma