FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

"He plans his move in a nano second,sees gaps no one in the stadia,not even Velverde can see-he even makes Albert Einsten father of the atomic bomb look less bright by comparasion,he does wonders without even trying". Gazette la Spain limeandika
 
Alafu wanatokea wahuni, mazoba wanatuambia eti ronaldo anastaili tuzo ya mchezaji bora wa mwaka 2017 wakati king amekamatia toka msimu uliopita unaanza yaani huu uhuni kwenye soka sijui utaisha lini.

In short hilo gazeti lingeandika "weka mbali na watoto". Hapana chezea hiyo. Yaani kwamba hivi Balloon Dor zote tangu aanze kukipiga ilitakiwa achukue huyu mchawi wa Ball wa Muda wote.
 
bee09992cbd9887fd7aecce2c80e4724.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom