FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Yaani Suarez kawa jipu cjui kama atabadilika kakosa magoli ile game tulikuwa tunasawazisha..
Lakini pia ilikuwa mechi powa sana kwani itakuwa chachu ya kuharakisha usajili wa wachezaji wazuri...
Sent using Jamii Forums mobile app
We usipokua dada nitashangaaI'm sooooo happy
This proves Neymar can not be replaced and I guess we will eventually have him at Bernabeu
I said we are going to win this game..AND WE WON!
haha..RIP BARCA
And that what you call a goal keeper..what a joke!
Tonight we just gave u the taste of how it will be the entire season..de rey,la liga..Ours to win!
Em nkalale mie kwa raha zangu
HALA MADRID!
Yeah Mkuu ila wiki tahafamika kama kama hiyo "expectation" nayo itakuwa "reality"...
Kuna changamoto mkuu we acha tu team ina advance mbele yeye anarudi nyumaIla Delouf ni galasha, yaani hamna kitu kabisa, hana uwezo wa kuchinja mbunga katikati ya mabeki...yaani kila akipewa yeye ni kurudi nyuma tu....hovyo kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah we take it in a positive wayYaani Suarez kawa jipu cjui kama atabadilika kakosa magoli ile game tulikuwa tunasawazisha..
Lakini pia ilikuwa mechi powa sana kwani itakuwa chachu ya kuharakisha usajili wa wachezaji wazuri...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe upo kama Mimi, maana wangeendelea kubweteka aseeeMm kama mshabiki wa Barcelona nimefrahi kufungwa, hii itawaumusha viongozi na timu kwa ujumla wake
Sent using Jamii Forums mobile app
We usipokua dada nitashangaa
Jinsi alivyo sound ,hapana siwadharau tena Fans wengi wa team yetu ni ladies tunafurahi nao sana jamvini hapaHuu mchezo auhitaji hasira mzee! Kitu gani kinachokufanya uwadharau wadada?
Ni kweli...ngoja tupambane na hari yetu...Hata aje Coutinho au Mbappe hawezi kucheza kama Neymar. Barca can still play Good, lakini kubomoka kwa MSN lazima mpitie kwenye changamoto. Hamuwezi kupata Trio kama ile kwa sasa
Kwa timu ipi wee Panyalona?? Kipindi mnawafunga Psg mlikuwa 13 uwanjani akiwemo na neymar, Leo neymar hayupo!MADRIDI TUTAWAFANYA KAMA PSG pumbavu zao KING ATAPIGA 3
Fumbafu thana,jana wameangukia mkuu wa kati yaani dhakari.Kwa timu ipi wee Panyalona?? Kipindi mnawafunga Psg mlikuwa 13 uwanjani akiwemo na neymar, Leo neymar hayupo!
Pogba wa tz nchi imekushinda!
Nadhani kocha amemuambia afanye sana mazoezi ya movements uwanjani na positioning mara nyingi sana mipira alikua anakua location sio ukizingatia hii ni Tick Taka so ana cope up na situation soon atakaa tu vizuriNi vizuri tumecheza na timu inayotufuatia kwa ubora na tumejua madhaifu yetu. Deulofeu na Vidal ni Magalasa. Suarez inabidi atafute mtu Amng'ate ili arudishe makali. Dennis ni mchezaji bora sana. Umtiti is the beast. Sasa tumchukue Dembele na Coutinho kwa bei yoyote, huyu Lord Paulinho ni bonus .
Mi naongelea Ronaldo, usinifosi kuongelea Messi!!We mpira umeujulia wapi ,Messi na Ronaldo nani ni terminator kwenye kiwanja cha mwenzake?kama ulikua haujui Messi alibalehe mara ya kwanza hatrick dimba la Benabeu tena aliingia kama sub