Nimeona Barcelona Live stream...page yao.
Wame andika Dembele Agency amefikia makubaliano na Dortmund. Hivyo by Next week Dembele anaweza ku join Barca.
Pia kule LFC. Advertising za LFC wame muondoa Coutinho pia ktk Duka kubwa la Club matangazo na mabandiko ya Coutihno yametolewa leo hii na ma ofisa wa LFC. Hivyo any time this week or next week chochote cha weza tokea kwa hawa wawili wote.
Hii kwetu ni habar njema.
JPM KAMATA WEZI