Aisee mkuu rekebisha hapo juu hata kama mimi sio fan wa Madrid Neymar hauwezi kumfananisha na CR7 ,Angekua na sifa hizo tusingemuachia tungemuongezea dau ,hata namba ya tuzo zao na statistics zao zinakupa picha halisikarma is b!tch
licha ya kuipenda barcelona
ila naipenda zaidi Arsenal yangu
ndio maana kila msimu nitanunua Jersey ya timu yangu
ila Barcelona mliigeuza academy mkawa mnatuchukulia key players tangu gio hadi tom
ule ulioniumiza ni wa cesc japo chogo aliondoka ila sababu zilieleweka
round hii mjue machungu maana mnamnyatia bellerin ila mmempoteza Neymar
mbaya zaidi kanunua mkataba
Neymar hamuwezi messi
ila ronaldo hamuwezi neymar
baada ya figo anafuata neymar kwa kuchukiwa barcelona
ila tambua usajili wa neymar utaziumiza baadhi ya timu zetu pendwa epl
Ha ha ila nimependa mwisho EPL hata nyinyi tumewapa favor yule Sanchez mbona mlimchukua kwa fedha ya madafu tukarma is b!tch
licha ya kuipenda barcelona
ila naipenda zaidi Arsenal yangu
ndio maana kila msimu nitanunua Jersey ya timu yangu
ila Barcelona mliigeuza academy mkawa mnatuchukulia key players tangu gio hadi tom
ule ulioniumiza ni wa cesc japo chogo aliondoka ila sababu zilieleweka
round hii mjue machungu maana mnamnyatia bellerin ila mmempoteza Neymar
mbaya zaidi kanunua mkataba
Neymar hamuwezi messi
ila ronaldo hamuwezi neymar
baada ya figo anafuata neymar kwa kuchukiwa barcelona
ila tambua usajili wa neymar utaziumiza baadhi ya timu zetu pendwa epl
Real Madrid wamemkosa morata,lakini morata ana replacement kibao sokoni ,ila neymar nje ya barca in ronaldo pekee anayeweza kuwa perfect replacement.acheni kujifriji kwamba mnaweza kufanya replacement Kwa neymarLeo unayasema hayo maneno kwakua anahama?
Sisi ndio wenye team na tunijua team yetu Neymar ana replacement kibao nilisema hata kabla hajaondoka mkuu nakushangaa leo hii Neymar unam crown kama third player naada ya Messi na CR7 au kwa sababu anaondoka?we unasahau league ya Balle kuwa Madrid ndo wanaamini ni third player after Messi na ?Ronaldo au ni ile design nyoka mwenye pande mbili nashangaa sijui umesahau nikukumbushe kuwa Bol On Dors za mwaka jana Neymar hakuwepo hata list ya wachezaji 10 bora?Real Madrid wamemkosa morata,lakini morata ana replacement kibao sokoni ,ila neymar nje ya barca in ronaldo pekee anayeweza kuwa perfect replacement.acheni kujifriji kwamba mnaweza kufanya replacement Kwa neymar
Sent using Jamii Forums mobile app
DB kacheza PSGView attachment 557704
Ha ha ukiwa Madrid always ni Madrid cheki hii picha David Bekham jinsi alivyo like
Lakini nakumbuka wakati Robinho anatoka Spain kwenye jiji la Manchester alimsihi kuwa jiji la Manchester anaijua team moja tu ya Man U na sio Man city
Yeah najua ndiko alikostaafia after Madrid sema aliend right time wakati ameshachuja tayariDB kacheza PSG
tatizo messi ameshazeeka kiwango chake kinaelekea ukingoni Neymar ndio alikuwa mrithi wake ndio huyooo ametimka hahahahahaView attachment 557586
This picture talks alot ha ha ha
Huwezi kukikwepa kivuli cha Messi kama umezaliwa kwenye era hii yake labda unywe sumu ufe fasta then uzaliwe upya hata Ronaldo analijua hilo
Kitendo cha kuzaliwa tu wakati Messi anacheza mpira is a big mistake ingekua inawezekana ingerudi unakotokea
Sasa Messi atacheza natural position yake kama hajagunga goli kuanzia 80 ,labda aumie
CR7 hawezi mzidi Neymar kiwango.Poleni sana Barca i know how it feels najua mnatafuta kila neno mjifariji kwa msiba huu ila ukweli unabaki mmeonja ladha ya sifongo kwa kikombe kile kile ambacho mnatumia kuwanyweshea wenzenu,Neymar kuondoka ni habari ila kununua mkataba wake ni habari ya kusisimua na ni dharau kubwa kwa Barca na kwa jinsi dogo alivyowahenyesha kwenye zoezi la kumtoa Brazil amefanya damage kubwa so far naamini mtajifunza kitu kwenye kuwalinda key players wenu.
Nawashauri ni bora mlie kwa sauti na mpaka machozi yaishe itapunguza maumivu ila kujifariji kua Neymar sio pengo ni unafiki,hakuna wa kuziba pengo hili kwa sasa maana baada ya CR7 na Messi anafuata Neymar niwatakie kila la heri kwenye zoezi la kwenda kuwaumiza wanyonge maana hasira zenu kuna timu zitamwaga machozi pia.
CR7 hawezi mzidi Neymar kiwango.
Records zinaweza kukumislead. Angalia mpira uwanjani. Magoli siyo kila kitu, mchezaji mzuri akicheza position isiyo ya kufunga/kufunga sana kwenye records ataonekana wa kawaida. Na mbovu kama Robaldo au Lukaku wakikaa kwenye position ya kufunga kwenye records huonekana moto.CR7 namaanisha Christian Ronaldo inawezekana hatujaelewana,itakua vema ukizijua records zao kwanza ndio urudi na hoja zako.
Records zinaweza kukumislead. Angalia mpira uwanjani. Magoli siyo kila kitu, mchezaji mzuri akicheza position isiyo ya kufunga/kufunga sana kwenye records ataonekana wa kawaida. Na mbovu kama Robaldo au Lukaku wakikaa kwenye position ya kufunga kwenye records huonekana moto.
Neymar hawezi kuja madrid kabla mkataba wake haujaisha maana pale psg hamna release clause kama spain kwa hiyo raisi wa psg anawapelekesha kama anavotaka baada ya kusaini mikataba mpaka yeye aidhinishe sio vinginevyo na kwa hivo neymar hawezi kuwachezea kamchezo kama aliowachezea barca kwa kuvunja mkataba kihuni.Madrid pambaneni na hali yenu mbaya wenu kabisa ni Messi ,Neymar has never been a threat ro Los Blancos ,Messi hata perez hua anamuota usiku anakuja kumkaba na ameshajaribu 3 times ammsajiri akachemsha ,huyo Neymar muacheni PSG akae msimu mmoja tu mkimjaribu lazima aje Bernabeu najua ndio mnachokifurahia
View attachment 557585
CR7 ndo atazeeka mapema kabla ya Messi maana wametofautiana age almost 2 years 30/32tatizo messi ameshazeeka kiwango chake kinaelekea ukingoni Neymar ndio alikuwa mrithi wake ndio huyooo ametimka hahahahaha
Mara ya mwisho nyie kutufunga ni Lin?Mbappé mchukueni nyie
Asensio anatosha kuwatengeneza kama juzi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]alichowafanya
messi na ronaldo zama zao zinaishia sasa hivi ni kizazi cha akina neymar na mbapeCR7 ndo atazeeka mapema kabla ya Messi maana wametofautiana age almost 2 years 30/32