FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Pia anaspidi ya hatari. Pengine kuzidi Alba (na Alba ni mtu mwenye spidi!). Leo macho yangu yote kwake.
 
Jamani asikudanganye mtu US watu wanapenda mpira kama bongo akina dada wa US wanajawa na passions kiasi kwamba inabidi wa overlap ulinzi wakawakumbatie either of MSN tu basi roho yake then inatulia kwatu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dembele kwangu ndio namuona a good replacement of neymar incase akiondoka
Dybala ni left footed itamuwia vigumu kucheza upande wa kushoto labda kocha abadilishe mfumo dybala au messi mmoja acheze kulia mwingine inside 10 ( formation hii itabidi iniesta awe sacrifised) halafu kushoto dealofeu aaminiwe apewe nafasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I think Neymar should go.

He's been good with us, but he ain't bigger than Barca!

Pia ni chance nzuri ya kumnasa veratti.

Neymar is a good kid, but he can be totally replaced. He ain't Xavi, he ain't Iniesta!

"Neymar wants to move to PSG" is a good music in the ears of mbappe and Dembele. We could replace him with any of them!

Alikuepo Ronaldinho Gaucho, alikuepo Xavi Hernandez, alikuepo Samuel Et'oo, akaja Thiery Henry na wengine wengi.

Wote waliondoka, but BARCA remains to be The best football club!

With Neymar or without Neymar, we will be fine!

Visca Barca

- KANA -
 
We wish him all the best,amecheza good last season,so many assists,a joy to watch but he also shares a big portion ya blame sisi kuikosa la liga-he missed a lot of goals
 
We wish him all the best,amecheza good last season,so many assists,a joy to watch but he also shares a big portion ya blame sisi kuikosa la liga-he missed a lot of goals
Sure,

We're good with him or without him!

- KANA -
 
Daah ila kiukweli Neymar mwili wake upo Barca ila Roho yake ipo PSG na aondoke tu maana kama mtu spirit imeshahaama basi nafikiri hatufai tenaa asee!
nimekua nasoma opinion polls za wa Catalonia-wanasema aondoke tu-endapo atabaki nahisi wanaweza fanya maisha yake ki soccer kuwa mabaya
 

Line ups hiyo Barcelona nimeyaona mabadiliko nita report baadae mpira mtamu halafu barca wanaucheza kwa kasi ngoja ni concentrate
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…