...Manda, 24th/25th February ni wiki kumi tu toka sasa,.... ushaanza kuhesabu vifaranga wakati hata kuku hajataga? ha ha ha... well well well!
nimemuona Mourinho na glass yake ya Champagne... jamaa tayari anajiramba mdomo, he cant wait!...
safari hii Chelsea nishawa count out,.... Man U mnh, sijuiiiii!!!.... Arsenal nauhakika tunavuka last 16 bila wasiwasi...
unasema hutakimbia jukwaa, nami nishaiweka tarehe kwenye Diary!
manda nakuunga kiganja na vidole!! time hii morinho hatoki salama THTR... of dream....
Mods unganisha hii thread na hii hapa
https://www.jamiiforums.com/michezo-sports-games/18130-road-rome-champions-league.html
😱😱😱 hivi ni keshokutwa eeeh??? 😀😀😀...
kuwafunga ni muhimu, tulianza na Man U, Chelsea, halafu na nyie ni lazima...! hiyo ndio Priority yetu msimu huu, esp hii 1st round ya EPL... ummm, 'our Chritmas present!'
It's funny jinsi ulivyo orodhesha timu zote tatu, kasoro Liverpool. Hivi mnataka Liverpool ifanye nini season hii ili ipewe heshima yake?
Btw, mimi ni Liverpool for life...ha ha haaaaa
Consider it done.
ahsante, haya input yako kwenye hii draw vipi, au ndio bado una mshangao?
Duh...naona mumenigandama kama gundi..wewe,Roya Roy,Manda na Idimi.
My thing ni kwamba bado siku kibao and anything can happen
from injuries to suspensions.naona mumesha tu-write off for
whatever reasons lakini mimi bado uzalendo ninao tu!
Viva Ze Bluzz!!!
Kinacho tuuma ni vile tutakosa 'kampani' lako na la 'wenzako', cant wait to attend your 'burrial'..
I can honestly say the same thing......tumefanyia mlichowafanyia hao vibonde wawili. Tena sisi tulikuwa wa kwanza. Yaani sisi tulipata nyama fresh kabisa, nyinyi mkamalizia makombo yetu....lol
Tusubiri hiyo jumapili....
Nimetengeneza hii kitu, Ab-Tichaz anakumbuka ile ya mwaka jana(final)
[media]http://www.youtube.com/watch?v=OtITQ_aCjSY[/media]