mi kila siku nasema timu siyo mbovu, kocha ndiyo mbovu. tuna RB mbovu lakini ni MD mzuri sana. kwanini ung'ang'anie kuwa na mabeki wa4. karibu mechi zote tulizochezesha mabeki 3 na viungo wa4 tumeshinda, tena goli nyingi. ya mwisho sevilla kala 4-2. lucho atakuwa na mtindio wa ubongo.