Fistiledi wao nawakilisha.wataingia tu hata kukikosa kombe,lol..Maunure for life, yani piga galagaza!!
kuna mtu anaitwa Wacha1..hii itakesha thread ya manure wiki nzima baada ya hii mechi..
Mkuu watu wako mazoezini tu sasa mechi ishaisha hii. Yaani Manu wanaonekana kama majimaji ya songea tu. Ferguson mwenyewe kimoyoni moyoni ameanza kushangilia barca