shushushu VIP
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 4,800
- 4,319
Bado upo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ndio ujue
Kwanza lazima wawafunge
Pili mkishinda nyingiiiii, yaan siku hiyo kwao wanakuwa walilala bar labda
Itakuwa 3-1, yaan hiyo pia wawe wamepewa na red card.
Bado upo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ndio ujue
Kwanza lazima wawafunge
Pili mkishinda nyingiiiii, yaan siku hiyo kwao wanakuwa walilala bar labda
Itakuwa 3-1, yaan hiyo pia wawe wamepewa na red card.
Na imetokea6-1 Neyma... goal la 2
kilichotokea sauti imekauka fcb tulikua wanne tu kati ya watu 30+and what happened ha ha ha umechekesha hatari
hauko peke yako naona comments nyingi za watu wa mbele wanalalamika kukaukiwa na sauti na kushindwa kulala usikukilichotokea sauti imekauka fcb tulikua wanne tu kati ya watu 30+
hapana yeye alikuwa anacheza Manchester Utd afu akaenda Real Madrid mpaka sasa yupo uko.Yule aliyechumbiwa Morocco??
tusikilize na hii mkuu cc@Everlenk.
Kuna mambo yalikuja kama mabaya kumbe yana kusudi na kuna mengine yalikuja kama mazuri kumbe yana mwisho mbaya lakini katika hayo yote tulimuona Bwana akitetea maisha yetu .....
...... Oh huyohuyo ni shemeji yako kwa mmorocco kama ulikuwa hujuihapana yeye alikuwa anacheza Manchester Utd afu akaenda Real Madrid mpaka sasa yupo uko.
Afadhali ili uwe unabaki nyumbani tuangalie wote.nilipoangalia mpira jana wamenikoma
hawataniruhusu teeeennaaa
3-1 nilikua nashangilia mimi
Oh huyohuyo ni shemeji yako kwa mmorocco kama ulikuwa hujui
Jamani si tumekubaliana tusiingilie maamuzi ya watu? Jamaa kampenda Mmorocco... hamna namna tena...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Watalia wenzio.
Shemeji heri ya mwaka mpya...Hahahaahahahha acha kabisa haikuwa rahisiiii!!! ......![]()
Kuna mambo yalikuja kama mabaya kumbe yana kusudi na kuna mengine yalikuja kama mazuri kumbe yana mwisho mbaya lakini katika hayo yote tulimuona Bwana akitetea maisha yetu .....
![]()
![]()
......
Asante kaka kwa jisong lizuri sana huwa nalipendaaa mnoooooo...... yaani jana sikutaka hata kuingia humu tulipofika goli tatu nikaacha hata kuangalia tv nikaawa naiombea tu Barca lile goli la PSG lilininyong'onyeza sana but nikajipa moyo nikazidisha sala nikasema nooooooo haiwezekani Barca aishie round hiii.... mwisho wa siku watu weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!........
au twende tukaangalie woteAfadhali ili uwe unabaki nyumbani tuangalie wote.
vyovyote vile ila Cr 7 ndiyo mwenyewe .Oh huyohuyo ni shemeji yako kwa mmorocco kama ulikuwa hujui
Hapo sawa.au twende tukaangalie wote