Ahaahahahahahahahahahahahahaha!!!Tiki-taka philosophy hairuhusu goal kufungwa nje ya 18,kama vipi unatakiwa uingie ndani ya nyavu na mpira ukiwa umenasa mguuni
We sio mchambuzi, embu tulia sasa. Nilitaka nikuunganishe na Azam Sports HD ila nakuona hamna kitu.
Hata mimi ninaposoma post zake namuwazaga huyu bibie ikiwa kwenye Mpira anamaneno matamu namna hii Je kwa Mr wake si balaaAhaahahahahahahahahahahahahaha!!!
Yaani wewe mdada una maneno, nikisoma comment zako sometymz huwa nacheka tuu.
Ahahahahahahahahahahahaha!!!!Hata mimi ninaposoma post zake namuwazaga huyu bibie ikiwa kwenye Mpira anamaneno matamu namna hii Je kwa Mr wake si balaaUbarikiwe bibie
Mr wake nipo Hapa nampa data tu halafu analeta uku jfHata mimi ninaposoma post zake namuwazaga huyu bibie ikiwa kwenye Mpira anamaneno matamu namna hii Je kwa Mr wake si balaaUbarikiwe bibie
Mr wake nipo Hapa nampa data tu halafu analeta uku jf
Ushabikie arsenal au man u swaga utoe wapi mkuu wakati kila siku afadhal ya jana
Hua natembela thread zao ni tetesi tu za usajili na kumdiscuss wengerhizo timu hata majukwaa yao mda wote wanachopost ni tetesi za usajili tu wala hawawez piga story kama hivi
Hua natembela thread zao ni tetesi tu za usajili na kumdiscuss wenger
Mr ni balaa-badala ya kuweka picha za watoto ukutani-yeye kaweka picha za akina MSN-sasa sijui hawa Madrid wakibahatisha ushindi itakuwajeHata mimi ninaposoma post zake namuwazaga huyu bibie ikiwa kwenye Mpira anamaneno matamu namna hii Je kwa Mr wake si balaaUbarikiwe bibie
Yani inapendeza sana Baba Barca mama Barca sio unaoa mke yupo man uMr ni balaa-badala ya kuweka picha za watoto ukutani-yeye kaweka picha za akina MSN-sasa sijui hawa Madrid wakibahatisha ushindi itakuwaje
Kho khoYani inapendeza sana Baba Barca mama Barca sio unaoa mke yupo man ukiukweli Hongereni ila kesho hatuwez fungwa
Ahahahahahahahahahahahahahahahaha!!!!