FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Man u msipomfukuza LVG mtakuwa kama Aston Villa hata sie Barcelona tulimtimua baada ya kuona anataka tushusha daraja
Umetushusha sana kuwa kama Aston Villa. Ngoja tuone mwisho wa msimu kitatokea nini maana naona huyu lvg anatuzingua tu
 
Reactions: PNC
PNC 1 Unajua bhan unapo muombea adui yako apoteze inatakiw na ww ushinde maan na ww ukipoza na walioko chini yako nao wanakuombea upotezeee ili wakabe nafac yako da! Kwel ligi kuu ya EPL ni hatariii
 
uko sahihi mkuu yani wanawaombea wenzie mabaya wakat wao wanafanya vibaya
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…