Advantage yetu frontline yote wana intensity ya hali ya juu kuanzia Olmo, Fermin,Raphina,Yamal,Gordon na Adeyemi (Hamza?)Sema wanangu wa katalunya timu tunayo.
Wapinzani wetu wajipange sana.
Jana kazingua sana.Bro since apate majeraha ya dyudyu bado haakaa sawa ni kama mabeki wote duniani washamjulia hapiti kabisa ni mwendo wa backpass,cross hazieleweki jana kacheza kama katoka kwa mshangazi yupo off mood kabisa. Asipo Level up his game lazima benchi imuhusu
Kwa aina ya beki zetu huo mfumo ndio unawafaa amini ninachokuambia.Advantage yetu frontline yote wana intensity ya hali ya juu kuanzia Olmo, Fermin,Raphina,Yamal,Gordon na Adeyemi (Hamza?)
huku viungo 8 na 6 wapo vizuri balaa. Shida ipo nyuma sasa backline sio wachezaji wa baya ila mfumo wa kocha unawaExpose. Ila ngoja tuone this season
Huu msimu tusioofika fainali UEFA basi tena we're so perfect pale mchawi alvalez tu.Kwa aina ya beki zetu huo mfumo ndio unawafaa amini ninachokuambia.
High line ndio mfumo uliotuokoa mpaka hapo tulipofika ingawa mapungufu yapo.
Kwa aina ya mabeki wetu huwezi kulazimisha wakimbizane na forward za timu pinzani mwanzo mwisho lazima wapotezwe tu.
Fikiria mtu kama Mbappe akimbizane na mtu kama Cubarsi unafikiri atamuweza Mbappe?
Unaikumbuka mechi Mbappe anatia chuma 4 zinakataliwa kama offside mechi inaisha peke yake ana offsides 9?
Fikiria tungekua hatutumii high line tungekufa goli ngapi?
Dawa ndio hiyo tu offside trap na imetubeba kwa aina ya beki zetu kina kounde na Gerald Martin.
Mimi roho imeniuma sana kuondoka Inigo mana jamaa na Cubarsi walikuwa perfect sana kui excute offside trap.
Vini na Yamal wote wameshuka sana viwango sijui starehe nyingi au namna gani.Jana kazingua sana.
Anarukaruka tu.
Sema uzuri sasa hivi tuna Adeyemi na Gordon hata asipokuwa fiti hizo winga mbili zinakiwasha.
Dogo anaendekeza sana mishangazi inampoteza.
Dogo mademu na starehe zjnampeleka puta sana.Vini na Yamal wote wameshuka sana viwango sijui starehe nyingi au namna gani.
View attachment 3656252
Daah nilijua wewe ni kolo bwana mbona ungenikoma. Vipi Al Nasir yenyewe hushabikii. Najua unashabikia hizo timu ajili ya Ronaldo.
Tall wako, White and Handsome 🤣
View attachment 3656042
Umebaki kidogooo ufanane na Scars maana yeye timu zake zote ni za hovyo. Simba, man U, Madrid, Portugal. Hana pa kuponea. Inabidi uhame yanga ili niwe nakukaanga vizuri wewe na scars.Sasa Yanga na ronaldo wapi na wapi jamani,Yanga tangu enzi za akina lunyamila. MU fc kabla ya Ronaldo sema babu fergie alivyoenda kumsajili alinogesha sana kikosi. R madrid sababu ya zidane etc na R9 etc sema saiv kazeeka kawa snitch kwa wajina wake(kumbuka hawa mastaa wengi tuliwaona zaidi kwenye makava ya jojo). Alnasri wanipishe kuleee😂😂😂
Sidhani kama ataweza kufanya kama aliyoyafanya misimu miwili iliyopita. Ngoja tuoneDogo mademu na starehe zjnampeleka puta sana.
Wakae nae chini mapema wamfanyie counseling before it's too late.
Dogo ana potential kubwa sana basi tu utoto unamsumbua.
Siku moja Mourinho aliwahi kusema ni rahisi sana kuwa Messi kuliko kuwa Ronaldo.Umebaki kidogooo ufanane na Scars maana yeye timu zake zote ni za hovyo. Simba, man U, Madrid, Portugal. Hana pa kuponea. Inabidi uhame yanga ili niwe nakukaanga vizuri wewe na scars.
Kiukweli hata mimi nilikua shabiki wa CR7 kabla sijamjua messi, reasons ni jojo na Magazeti. Ila alivyoenda Madrid tu nikamchukia mazima hadi leo. I like him as a person but not as footballer .
Unamuona wonderkid wenu🤣
View attachment 3656385
Raphinha: 2 Goals 1 AssistDogo mademu na starehe zjnampeleka puta sana.
Wakae nae chini mapema wamfanyie counseling before it's too late.
Dogo ana potential kubwa sana basi tu utoto unamsumbua.
Unadhani shida itakuwa nini?Sidhani kama ataweza kufanya kama aliyoyafanya misimu miwili iliyopita. Ngoja tuone
View attachment 3656386
Mzee basii tumekuelewaa 🤣Umebaki kidogooo ufanane na Scars maana yeye timu zake zote ni za hovyo. Simba, man U, Madrid, Portugal. Hana pa kuponea. Inabidi uhame yanga ili niwe nakukaanga vizuri wewe na scars.
Kiukweli hata mimi nilikua shabiki wa CR7 kabla sijamjua messi, reasons ni jojo na Magazeti. Ila alivyoenda Madrid tu nikamchukia mazima hadi leo. I like him as a person but not as footballer .
Unamuona wonderkid wenu🤣
View attachment 3656385
Ila kaenda miaka 20 kombe la dunia bila kufika fainali...Siku moja Mourinho aliwahi kusema ni rahisi sana kuwa Messi kuliko kuwa Ronaldo.
Kuwa Messi utahitaji kipaji na support ya mfumo ambayo itakuwa inaku backup.
Ronaldo sio tu kipaji unahitaji vitu vingi extra ku maintain Quality yako kwasababu upo against Media na football systems.
Naamini pasingekuwa na social media tungekuwa tumedanganywa vya kutosha sana kuhusu Ronaldo. Tushukuru social media imesaidia ku expose baadhi ya mambo ambayo yangeweza kufichwa kwa lengo la kumlinda mtu.
Imagine timu anayochezea Ronaldo ikipoteza mechi, lawama zinaenda kwa Ronaldo utaskia "huyo jamaa anai cost timu ni mbinafsi sana, amechoka alipaswa kuwapisha vijana damu changa wacheze"
Na sometimes hayo maneno yamekuwa yakitolewa hata siku ambayo Ronaldo hajacheza.
Ni Ronaldo ambaye amefanya ionekane jambo gumu la kufunga lionekane ni rahisi kwasababu tu analifanya yeye
Lakini Messi amekuja kukosa penalti ya tatu mfululizo lakini media zipo kimya.
Messi kaenda mechi 5 bila ushindi, huku mechi moja tu ndio ameambulia sare, 4 zilizobaki ni vipigo.
Bado hukuti watu wakimsema kuwa amechoka, hukuti watu wakisema awapishe vijana.
Mind you, Ronaldo hajawahi kwenda mechi 5 bila ushindi.
Rudiger kanunuliwa mto wa Dola 140M
Give me freedom , give me fire. Give me Uzebakstan or I retireMzee basii tumekuelewaa 🤣
Tapeli tutamkaanga vizuri tu.Ferran Torres baada ya kuona ratiba
View attachment 3658329