Master Race
JF-Expert Member
- Feb 19, 2026
- 822
- 2,010
Yeah, ni binadamu haswa.Marc bernal ni mtu sana
Tumemla japo kwa mbinde.madrid kafungwa leo ATM inatakiwa tumfunge softly
Mi saizi sitaki kushangilia nasubiria dakika 90 zitimie maana ATM hawaelewekagiTeam ATM tufahamiane mapema
Usije ukakimbia wewe tu.Wenye timu wamekimbia
Unaangalia na dakika za mchezo zilizobaki?Usije ukakimbia wewe tu.
Me nataka barca atolewe uefa tuWenye timu wamekimbia
Bado kuna dakika 90 nyingine.Unaangalia na dakika za mchezo zilizobaki?
Ni mwendo wa undava tuMe nataka barca atolewe uefa tu
Ili yamal aache kamdomo
Uzuri Simeone unaujua shughuli yake akitaka alinde ushindiBado kuna dakika 90 nyingine.
Uyu dogo wanampa sifa za kijinga tuYamal angefunga pale, goli lake lingekuwa mjadala kuliko matokeo ya jumla ya Barca kufungwa.