Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,696
Akija kukosa namba timu ya taifa ndio atajua kwamba alifanya uamuzi wa kijingaDogo kafanya uamuzi wa kijinga sana.
Labda kama ataamua kuondoka Bilbao.
Kinyume na hapo asahau makombe na ukubwa.
Ngoja tumpe muda na uamuzi wake.Akija kukosa namba timu ya taifa ndio atajua kwamba alifanya uamuzi wa kijinga
Dogo ana akili kuliko unavyomfikiliaLamine asije kuiga life style ya NEYMAR Inatakiwa ajitume,afanye mazoez kwa bidii asije kuiga akili ya neymar kwa sababu hii jezi namba 10 Inaweza kumfanya ajione katusua kikubwa tumuombee
Kwa mkopo.Rashford is ours.
Eeh ndio ila ni wetu tayar.Kwa mkopo.
Dogo alitaka juu chini ajiunge Barcelona.Eeh ndio ila ni wetu tayar.
Bitozi nyangema...we subiri ..unacheza na pesa ...mapesa yote hayo ...lazima adate...kama hatakua na msimamiz wa karibu sana kumguide kwenye upande wa pesa matumizi investment n.kLamine asije kuiga life style ya NEYMAR Inatakiwa ajitume,afanye mazoez kwa bidii asije kuiga akili ya neymar kwa sababu hii jezi namba 10 Inaweza kumfanya ajione katusua kikubwa tumuombee
Kwaio mmemchukua rashidi..😂Rashford is ours.
Endelea kuotaBitozi nyangema...we subiri ..unacheza na pesa ...mapesa yote hayo ...lazima adate...kama hatakua na msimamiz wa karibu sana kumguide kwenye upande wa pesa matumizi investment n.k
Kwani huyo dogo si tungemsajili mazima asirudie Kwa manyumbuNaona Rashford kapewa namba ya Henry na Mascheraano.
Atasajiliwa bado kwanza tunaweka sawa vitabu vya mahesabu.Kwani huyo dogo si tungemsajili mazima asirudie Kwa manyumbu
Mhojaji 🗣️: Unajisikiaje kuhama kutoka klabu kubwa ya Manchester hadi klabu nyingine kubwa nchini Hispania?Naona Rashford kapewa namba ya Henry na Mascheraano.